miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
wiki moja tuMuonee huruma mwanamke mwenzio
ha hahahaa sawa babyhahahahahaha...kaza mulemule babydarling..mi nakuelewa sana ujue...afu napenda kinoma unavokaza mulemule....ndio mana nakupenda
[Emoji23] [emoji23]wiki moja tu
Sema kweli![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
KweliSema kweli![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
huyo Bantu mnaye mgombania pesa anazo au kilaka tu wa rugeWe Doreen since mtemane na Zilla naona unammendea sana bae wangu George Bantu....
Hukauki,kila picha anayopost nakuona wa kwanza kucomment,sijui umeturn on post notification,sielewi....
Unamsumbua na vitext vyako visivyo na kichwa wala miguu..
Wanaume wapo kibao please,peleka interests zako huko kwingine,kwa bantu KOMA kabisa...
Usione vyaelea vimeundwa,tafuta wako muunde nayeye aelee....
Na the way uko na dharau na u-too much know utamtesa tu bae wangu...
Bantu wangu keep ignoring her like you've always been doing...
No chances for thirsty whores...
Hivi JF haina option ya kuturn off comments[emoji125][emoji125][emoji125]i see am about to be attacked...[emoji23],haya karibuni though...
huyo huyo mkuuUnamzungumzia bantu huyuhuyu anayejitangaza kupitia story zake ktk kipindi cha jahaz kwamba anapenda ngono na mademu kuliko chochote au Kuna George bantu mwingine?kama ni huyo povu lisikutoke bidada unapoteza Muda wako we liwa waache na wenzio waliwe kila mtu kwa wakat wake
hujapoteaMmh....hivi nimepotea jukwaa..??
hivyo hivyohuyo Bantu mnaye mgombania pesa anazo au kilaka tu wa ruge
itakua mimibantu anaoa mwezi wa saba dada ila sijajua kama ni wewe,doreen au mwingine ndo ataolewa,itafahamika tu hehehe mapenzi buana
naogopa mtamnyakuaPicha ya Bae wako please
atafute wakeMwache mwenzio nae afikishwe kibo na mawenzi
ugua polewe dada bola utoe io sula ako kwenye avatar,unajiaibisha kwa tunaokufahamu
kwanza ile likizo ya wiki moja ulkua hukauki hapa clouds,kila unapoenda upo na bantu,sasa unataka kumpangia bantu nani wa kuongea nae na nan sio loh,