Doreen Andrew hala hala bibi we....

Doreen Andrew hala hala bibi we....

mwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
Sema kweli![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
bantu anaoa mwezi wa saba dada ila sijajua kama ni wewe,doreen au mwingine ndo ataolewa,itafahamika tu hehehe mapenzi buana
 
We Doreen since mtemane na Zilla naona unammendea sana bae wangu George Bantu....

Hukauki,kila picha anayopost nakuona wa kwanza kucomment,sijui umeturn on post notification,sielewi....
Unamsumbua na vitext vyako visivyo na kichwa wala miguu..

Wanaume wapo kibao please,peleka interests zako huko kwingine,kwa bantu KOMA kabisa...
Usione vyaelea vimeundwa,tafuta wako muunde nayeye aelee....

Na the way uko na dharau na u-too much know utamtesa tu bae wangu...

Bantu wangu keep ignoring her like you've always been doing...
No chances for thirsty whores...

Hivi JF haina option ya kuturn off comments[emoji125][emoji125][emoji125]i see am about to be attacked...[emoji23],haya karibuni though...
huyo Bantu mnaye mgombania pesa anazo au kilaka tu wa ruge
 
Unamzungumzia bantu huyuhuyu anayejitangaza kupitia story zake ktk kipindi cha jahaz kwamba anapenda ngono na mademu kuliko chochote au Kuna George bantu mwingine?kama ni huyo povu lisikutoke bidada unapoteza Muda wako we liwa waache na wenzio waliwe kila mtu kwa wakat wake
 
Unamzungumzia bantu huyuhuyu anayejitangaza kupitia story zake ktk kipindi cha jahaz kwamba anapenda ngono na mademu kuliko chochote au Kuna George bantu mwingine?kama ni huyo povu lisikutoke bidada unapoteza Muda wako we liwa waache na wenzio waliwe kila mtu kwa wakat wake
huyo huyo mkuu
 
we dada bola utoe io sula ako kwenye avatar,unajiaibisha kwa tunaokufahamu
kwanza ile likizo ya wiki moja ulkua hukauki hapa clouds,kila unapoenda upo na bantu,sasa unataka kumpangia bantu nani wa kuongea nae na nan sio loh,
ugua pole
 
Doreen kamuokoe zilla
Yuko hoii co kwa
Kibuti kile
 
Back
Top Bottom