Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Sipendi sauti yake..
Kuna mdada mmoja anatangaza Clouds Fm kwenye XXL segment ya 411 story za wasanii wa ulaya lakini mda mwingi hua anapiga makelele na kucheka bila kueleza habari kwa ufasaha unacheka cheka sana jirekebishe Mrs zilla..
Ndio naniij😊😊

Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule
Huyu nnaemsema ni mtangazaji wa tv kituo cha tbc 1hahahahaha umenichekesha in gwajima's voice,jamani mimi mbona sisikilizagi redio, mpaka nimeshahau kama ninayo redio, yani woote mnaowataja sijui hata mmoja.