Doreen (Dee Andy); Hivi unatangaza au unapiga makelele na kuchekacheka?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Kuna mdada mmoja anatangaza Clouds Fm kwenye XXL segment ya 411 story za wasanii wa ulaya lakini mda mwingi hua anapiga makelele na kucheka bila kueleza habari kwa ufasaha unacheka cheka sana jirekebishe Mrs zilla..
 
Kabinti karembo ila sijui kalifuata nini kwa mngoni zilla mwendawazimu!
 
Mbona anatangaza poa tu yale ndo mambo ya Info tainment.......Mrs wa mnyamwezi zilla
 
Anatangaza vzur sana yule dada mtu ambae hajui kutangaza ni dahuu
 
heeee hivi ma investment bankers watu wa b.o.t huwa wanakula totoz zipi ?
Maana totoz nzuri zote nasikia wanachukuliwa na wasanii mwee
 
Kuna mdada mmoja anatangaza Clouds Fm kwenye XXL segment ya 411 story za wasanii wa ulaya lakini mda mwingi hua anapiga makelele na kucheka bila kueleza habari kwa ufasaha unacheka cheka sana jirekebishe Mrs zilla..

Ehee mrs zilla tena?
 
Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule

hahahahaha umenichekesha in gwajima's voice,jamani mimi mbona sisikilizagi redio, mpaka nimeshahau kama ninayo redio, yani woote mnaowataja sijui hata mmoja.
 
Huyu nnaemsema ni mtangazaji wa tv kituo cha tbc 1
zamani alikua anatangaza kipindi cha zamadamu sahivi anatangaza jumapili kipindi cha twende kanisani
 
Back
Top Bottom