Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tuwakatae?Mama zetu,dada zetu mambo mengine uwa mnajitakia.
Kizee Kama kile kingekupeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwakatae?Mama zetu,dada zetu mambo mengine uwa mnajitakia.
Kizee Kama kile kingekupeleka wapi?
Ndo haya mnayokutana nayo.hivi unadhani ndugu zake watakubali kirahisi tu.ukae na ndugu yao chini ya mwaka uje kurithi Mali alizotafutq zaidi ya miaka 50+?Tuwakatae?
Hapana huyu Alijiegesha akijua huyu Baba atakufa Mapema. Bora tu angejiita Nesi na si Mke. Mgonjwa wa Sukari, Dialysis, kutembea na kushika Vitu taabu. Kulikuwa na Ndoa gani hapo.? Gold Digger 🙄🙄Kwamba bibie alikufa akaoza kwa Mh. Ila wanawake hapana aisee 😂😂
Sidhani kama anastahili mgao mkubwa ni ile tu kuappreciate kumlea ndugu yenu kipindi cha ugonjwa hata kama ni kwa muda mfupi.Ndo haya mnayokutana nayo.hivi unadhani ndugu zake watakubali kirahisi tu.ukae na ndugu yao chini ya mwaka uje kurithi Mali alizotafutq zaidi ya miaka 50+?
Na wewe utakubali upewe kidogo wakati unasema ni mume wako wa NDOA?yaani happy wakikubali tu wampe kidogo wameshaajiingiza kwenye mtego.huyo mama hatokubali.MALI IBILISISidhani kama anastahili mgao mkubwa ni ile tu kuappreciate kumlea ndugu yenu kipindi cha ugonjwa hata kama ni kwa muda mfupi.
Ana stahili kupata kidogo...ndio mtu ambaye mzee alimchagua awe karibu yake kipindi cha uzee wake why leo mumuache hana kitu kabisa? Not fair
Mimi nakubali chochote. Gari wasingemnyang'anya..ni kitu kidogo sanaNa wewe utakubali upewe kidogo wakati unasema ni mume wako wa NDOA?yaani happy wakikubali tu wampe kidogo wameshaajiingiza kwenye mtego.huyo mama hatokubali.MALI IBILISI
Tunataka ila sio mama MremaNi kwamba mkizeeka mkihitaji mtu wa kuwa naye karibu tuwakatae? Au mrema aliozeshwa kwa nguvu?
Alijiweka kimkakati sana na kuna hatari akakosa vyote sababu ya pupa.Hapana huyu Alijiegesha akijua huyu Baba atakufa Mapema. Bora tu angejiita Nesi na si Mke. Mgonjwa wa Sukari, Dialysis, kutembea na kushika Vitu taabu. Kulikuwa na Ndoa gani hapo.? Gold Digger 🙄🙄
Apewe UTEUZISiku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na anayodai ni usia alioachiwa na marehemu mume wake pamoja na matumaini yake baada ya kifo cha mumewe.Ikumbukwe kwamba baada ya kifo cha mumewe maoni mengi yametolewa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu maisha yake baada ya kifo cha mumewe hasa ukizingatia kwamba ndoa Yao haikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu (kutokana na kifo cha mumewe) ukizingatia swala la kurithi Mali.Wapo wanaodai hastahili kupata mgao kwa kua kwa muda waliofanikiwa kuishi pamoja si rahisi kwamba walichuma Mali pamoja kumstahilisha urithi,wapo wanaosema hawakufanikiwapata mtoto pamoja hivyo kumpunguzia vigezo vya urithi.Wapo wanaodai alijiegesha kiujanja ujanja ili apate Mali japo mwanamama huyu alishawahi kusikika akisema anamiradi yake(ya Maua ) maeneo ya Moshi hivyo kilichompeleka kwa mzee Ni upendo na si Mali .Ikumbukwe kwamba siku za karibuni imejitokeza minong'ono na hata kufikia baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kwamba huko ndani Hali si shwari.Ati wasema magari yanatolewa Hadi baadhi ya vifaa 🙊Amesema pamoja na changamoto alizopitia na anazopitia anaimani mtetezi wake yu hai na ama hakika mungu yu hai atampigania.
Nukuu
👇
"yapo yanayosemwa kwa kuyashuhudia kwa macho, ninaamini baba hajafunga macho, kama alivyoniahidi, kuwa hata akifa hatafumba macho, na ninaamini katika maneno yake."
"Sitakuwa na hofu wala sitakuwa na huzuni kwani naamini nimeachwa katika mikono salama. Bado nitaendelea kuishi kwa unyenyekevu, kama niliyekuwa mke wa Mrema, nitaendelea kuwaheshimu na kuwapenda wale ambao niliachwa kwao kama mke wa ndugu yao," amesema
"Nitaendelea kuwa mnyenyekevu kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote na wote waliokuwa na mapenzi mema na familia ya Mrema" ameeleza
Amesema yapo mengi yanayozungumzwa kuhusu hatma yake akibainisha kuwa yapo baadhi yana ukweli na mengine ni upotoshaji.
"Yapo mengi yanayozungumzwa kwenye vyombo vya habari juu ya hatma ya maisha ya Doreen, yapo ambayo ni ya kweli na hayahitaji uchunguzi wa kiintelijensia na kimaabara."
"Lakini yapo ya upotoshaji kwa sababu ya dhamira mbalimbali nisisitize tu kwa kuwa changamoto zozote zilizotokea na zinazotokea naendelea kuzihifadhi lakini ninaamini mtetezi wangu yu hai” amesema na kusisitiza
“Niendelee kuwahakikishia Watanzania nitamuenzi mume wangu mpenzi na kuishi vile alivyoniasa na kunihusia, muondoe shaka juu yangu ila tumaini langu na imani yangu ni kwa Mungu aliye hai atampigania.
Nafikiri Dada huyu anapitia wakati mgumu kwa namna moja au nyingine anastahili kufarijiwa na watu wa karibu na watu wa unasihi pia wakimtembekea ni vizuri .Anaweza akawa anawaza kweli Hilo la Mali kwamba je nitapata Mali Kama mke halali au la.Je aachane na yote akaolewe na nanaumw mwingine(ukizingatia bado kijana)
Lakini Pia wajuvi wa mambo ukizingatia wapo wadau wa Sheria humu vp baada ya kufunga
ndoa Alikuwa mke halali wa ndoa Ila ukizingatia muda mfupi alioishi na mume wake stahiki zake Kama mke zinakuwa katika utaratibu upi Kama elimu kwa walio wengi kwani tumeshuhudia matatizo makubwa anapoondoka mtu na ukute ameacha mali . Just elimu kwa uma
Kha! Kwanini?Tunataka ila sio mama Mrema
Hawez kukosa maana Ni mke Halali wa Mheshimiwa Dr ALM (PhD)Alijiweka kimkakati sana na kuna hatari akakosa vyote sababu ya pupa.
Tatizo hakutafuta nae.ni Kama alishapiga hesabu zake vizuri.kizee Kama kile ndoa ya Nini?na Hawa wazee Kama wanajua vile.uzeeni ndo wanatafuta mabalaa ya kuwaachia watoto waoMimi nakubali chochote. Gari wasingemnyang'anya..ni kitu kidogo sana
Kweli kabisa kwa mali walizo chuma wote haki itendekeNdugu watafute vyao. Mke Halali atafute mwanasheria akapate haki yake mahakamani.