PostGE2025 Dorkasi: Anayeliambia jeshi lisichafue sifa yake, ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye mambo ya siasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa anayelionya jeshi ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye siasa kipindi cha kampeni.

Soma Pia PostGE2025 - Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

"Sasa si ni huyo huyo kabla hajaanza kampeni aliliingiza jeshi katika mambo ya siasa, kwamba lijiandae. Tangu lini jeshi la wananchi wa Tanzania likajiandaa na mambo ya siasa au ulinzi wa ndani? Ni yeye huyohuyo na tuliona katika kampeni zake helkopa zikiruka juu" Dorkasi (Rose Bedda)
 
Bibi mwandabo pori kwa pori aha ha haha 😄 😆
 
Back
Top Bottom