Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni hatari, ni noma yaani ukizima leo, unaamka kesho kutwa, ni kama mautiNilimsikia yule RPC livykuwa anatamka kwa mikogo mambo ya ugoro huo.
Ombeni Mungu Doremii isifike Dar, ikifika Dar walevi watakuwa wanaamka wamepasuliwa mayai.Ni hatari, ni noma yaani ukizima leo, unaamka kesho kutwa, ni kama mauti
Hivi ni kwamba huko DAR Wanawake ni wachache hadi wanaume wanatamaniana?Ombeni Mungu Doremii isifike Dar, ikifika Dar walevi watakuwa wanaamka wamepasuliwa mayai.
Mkuu DAR ni mji mbaya sana umejaa mashetani ndio maana kuna dhambi mbaya ya kila aina. Hata unipe chochote siwezi kukaa Dar.Hivi ni kwamba huko DAR Wanawake ni wachache hadi wanaume wanatamaniana?
Sisi wanywaji wazoefu huwezi kusogelea kinywaji chetu wala muhudumu afunguagi kinywaji chetu na sehemu Tata hatuachagi bia mezani tuna maliza ndio tunaenda kumwaga maji!Ili tuwasaidie ndugu zetu, huu uzi ungehamishiwa kwenye uzi maalum wa walevi na wanywa pombe.
Umenigusa.Mm pombe nimekunywa sana glass kwangu mwiko,na nikienda choosing basi ujue bia imeisha,sehemu yangu kubwa ni kaunta
Kwenye meza mara chache sana
Ova
Msitangaze kwa nguvu sasa,isije ikapata wateja wengi kwa hilo stimu lake,yaani pesa kidogo stimu mlimaNi hatari, ni noma yaani ukizima leo, unaamka kesho kutwa, ni kama mauti
Hahahahha ngoja nimwambie akuwekeeeeeNinanywea nyumbani hayo mambo ya dorome labda niwekewe na Asprin
Mkuu sisi wazoefu tuna piga maji kadiri tunavyo lewa ndio tuna angalia kinywaji kwa makini!Daah! Kwa sisi Watu wazima inabidi tuwe makini.
Maana huko kuzimia siku tatu si ndio mauti tena.
Ukijipendekeza kwa mdada au mkaka uliyemkuta/aliyekukuta bar na kuanza kumpa offer ili ukagegede/ukagegedwe, umekwishaNani anawaekea hiyo doromie
Wahudumu au kuna genge
Unaota? Huu mtindo wa kuwekeana madawa Dar si ndiyo nyumbani kwake? Enzi za Corner Bar wamelizwa watu wengi.Ombeni Mungu Doremii isifike Dar, ikifika Dar walevi watakuwa wanaamka wamepasuliwa mayai.