Doromee kilevi hatari kinachotumika kuwaibia watu magari

Doromee kilevi hatari kinachotumika kuwaibia watu magari

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Jeshi la polisi mkoani Njombe limewatahadharisha wananchi na wamiliki wa vyombo vya moto kuwa makini pindi wanapokuwa sehemu za starehe ili kuepuka kuwekewa vilevi katika vinywaji vyao na kusababisha kuibiwa magari yao, baada ya kupewa vinywaji ambavyo vinachanganywa na ugoro na Valium ambavyo husababisha kulewa zaidi na kupoteza fahamu, mtindo huo unajulikana kwa jina la "Doromee".
 
Hivi ni kwamba huko DAR Wanawake ni wachache hadi wanaume wanatamaniana?
Mkuu DAR ni mji mbaya sana umejaa mashetani ndio maana kuna dhambi mbaya ya kila aina. Hata unipe chochote siwezi kukaa Dar.
 
Nani anawaekea hiyo doromie
Wahudumu au kuna genge
 
Kama inachanganywa kwenye pombe hapo ni sawa kulalafofo.
Minaona wakulungwa wanakunywa pombe wakati uo ana kipaseli cha ugoro anapiga finger mojamoja kuweka kinywani na asubuhi unalikuta mapema lishafika mishe mimacho myekundu kama nyanya.
 
Daah! Kwa sisi Watu wazima inabidi tuwe makini.

Maana huko kuzimia siku tatu si ndio mauti tena.
Mkuu sisi wazoefu tuna piga maji kadiri tunavyo lewa ndio tuna angalia kinywaji kwa makini!
Muhudumu akishika bia kuangalia kama imeisha akishika kwenye shingo ya bia basi tuna mwambiaga kamwage alafu usiguse bia yangu tena adi nikuambie nimemaliza
 
Back
Top Bottom