Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwi Kwi KwiYeye ana watoto wangapi?
πππCcm wanapolazimisha wabunge wao wapite kwa nguvu wawe wanatafuta watu wenye uwezo na sio weupe kama hawa
πππWalimsikiliza Mwendazake, βzaaneni serikali yangu itawasomesha.β
Nchi ya wajinga hii..
Hahahahahahahahahahahahaha hii Ni point Sana mkuu. Hakika watafute watu weledi ndio ndio walazimishe kupitishwa kawa lazima. By KIBIKIMUNU mkulima wa nyanya wanyama.Ccm wanapolaziisha wabunge wao wapite kwa nguvu wawe wanatafuta watu wenye uwezo na sio weupe kama hawa
KING HAPA !UMEONGELEAWEUPE UPI? WA SURA AU WA KICHWANI?π π π πCcm wanapolazimisha wabunge wao wapite kwa nguvu wawe wanatafuta watu wenye uwezo na sio weupe kama hawa
mwendazake na vyeupe ni kama alikuwa na laana yaani hapitwi, hivi kale kamama kauriki yuko wapIkumbukwe kwamba huyu ndio yule mbunge mweupe aliyetajwa uwanja wa Taifa na Mwendazake
Weupe wa akiliKING HAPA !UMEONGELEAWEUPE UPI? WA SURA AU WA KICHWANI?π π π π
nisawa hiyo ni legacy ya mwenda zake wananchi wametekeleza ilani
Hahahahahahaha, ahsante kwa jibu lako nzuri....π π π π πWeupe wa akili
Hasara tupu kwa taifaHawa watu wa polepole mbn kama tumepigwa ivi
Au naona mm tu