Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria.

Amesema TCD inaamini demokrasia imara inahitaji mifumo ya kudumu ya mazungumzo kati ya wadau wa kisiasa na kijamii, badala ya mazungumzo kufanyika wakati wa migogoro pekee, akisisitiza kuwa mazungumzo yanapaswa kuwa sehemu ya utamaduni wa kisiasa nchini.

“Maridhiano si kusahau tofauti, maridhiano si kuacha misimamo, wala si kushinikiza upande mmoja kukubali upande mwingine. Maridhiano ni kujenga mazingira ambayo tofauti zinaweza kujadiliwa, malalamiko yakasikilizwa, makosa yakatambuliwa na suluhisho likatafutwa bila kuvunja mshikamano wa kitaifa,” amesema Dorothy Semu.

Semu amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa, unaofanyika jijini Dar es Salaam

Chadema walihudhuria au walisusa kama kawaida ?
 
kama walikataa maridhiano before MO29, kwa sasa ni wastage of time, ukizingatia hata kuomboeza wapendwa wetu waliouawa Mo29 tunazuiwa
 
Back
Top Bottom