Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkaleta ujinga tukawala shaba wajinga nyieTuliwaambia No reforms no elections mkakaza fuvu haya sasa kipo wapi
Wewe huna haja ya kulinda mgongo wako kwasababu wenzio huko ccm walishakuharibu wewe mbwaMkaleta ujinga tukawala shaba wajinga nyie
USSR
Kila mtu ashinde mechi zake si mlishinda kwa %86 sasa mnataka maridhiano ya nini?Mkaleta ujinga tukawala shaba wajinga nyie
USSR
Kama babako vileWewe huna haja ya kulinda mgongo wako kwasababu wenzio huko ccm walishakuharibu wewe mbwa
Chadema walihudhuria au walisusa kama kawaida ?Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria.
Amesema TCD inaamini demokrasia imara inahitaji mifumo ya kudumu ya mazungumzo kati ya wadau wa kisiasa na kijamii, badala ya mazungumzo kufanyika wakati wa migogoro pekee, akisisitiza kuwa mazungumzo yanapaswa kuwa sehemu ya utamaduni wa kisiasa nchini.
“Maridhiano si kusahau tofauti, maridhiano si kuacha misimamo, wala si kushinikiza upande mmoja kukubali upande mwingine. Maridhiano ni kujenga mazingira ambayo tofauti zinaweza kujadiliwa, malalamiko yakasikilizwa, makosa yakatambuliwa na suluhisho likatafutwa bila kuvunja mshikamano wa kitaifa,” amesema Dorothy Semu.
Semu amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa, unaofanyika jijini Dar es Salaam
kapigwe miti kama yanavyopigwa machoko wenzio huko lumumbaKama babako vile
USSR
Wewe umeshaharibika wewe malaya umeshashindwa kulinda mgongo wakoKama babako vile
USSR
Wewe mwepesi sana tena sana. Mpenda rushwa, mwizi wewe. Vijana wakikupa 'vijisenti' unaachia mgongoKama babako vile
USSR
Wewe na nani? Wakati ulikuwa umejificha uvunguni? Wengi waliouawa sio walioandamana.Mkaleta ujinga tukawala shaba wajinga nyie
USSR
kama walikataa maridhiano before MO29, kwa sasa ni wastage of time, ukizingatia hata kuomboeza wapendwa wetu waliouawa Mo29 tunazuiwaMwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria.
Amesema TCD inaamini demokrasia imara inahitaji mifumo ya kudumu ya mazungumzo kati ya wadau wa kisiasa na kijamii, badala ya mazungumzo kufanyika wakati wa migogoro pekee, akisisitiza kuwa mazungumzo yanapaswa kuwa sehemu ya utamaduni wa kisiasa nchini.
“Maridhiano si kusahau tofauti, maridhiano si kuacha misimamo, wala si kushinikiza upande mmoja kukubali upande mwingine. Maridhiano ni kujenga mazingira ambayo tofauti zinaweza kujadiliwa, malalamiko yakasikilizwa, makosa yakatambuliwa na suluhisho likatafutwa bila kuvunja mshikamano wa kitaifa,” amesema Dorothy Semu.
Semu amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa, unaofanyika jijini Dar es Salaam
Wewe na mmeo ndio mliua watz??Mkaleta ujinga tukawala shaba wajinga nyie
USSR