Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani huyu naye ni maarufu, mbona mimi simfahamu? na kama amenunua hiyo gari so what? kwa pesa gani? kuna watu wana mabilioni na mabilioni lakini hawanunui takataka kama hiyo, wanajenga nyumba, nyumba nyingi zingine hadi wanatunzia yatima, wengine wanalipia watoto yatima na wasiokuwa na uwezo ada za shule...sasa yeye kama ndo hivi, and so what? aende zake na pesa za mawazo hizo...gari kama hiyo si itachoka muda si mrefu, atakuwa amefaidika ni kutuzidi sisi wengine wenye magari ya kawaida tu? na tunafanya tangible things kibao kwa jamii?
[B said:doc1990[/B];1807025]nafikiri kuna mtu amenunua kupitia mgongo wake
Hapa kuna la kujifunza. Sina tatizo na mtu kuwa na gari, gari ni muhimu sana kiasi kwamba hata kama huna nyumba unaweza ukanunua kwanza gari na nyumba (kulingana na mazingira unayoishi) ikafuata baadae. Ila nina tatizo na gari ya gharama (or any other "toys") kubwa kiasi hicho. Gari kama hiyo inamfaidisha mtu mmoja tu, wakati kwa pesa hiyo hiyo unaweza ukajenga shule ambayo itafanya watu wapate maarifa/elimu, waalimu wapate ajira, na mwekezaji apate faida. Gari kama Hummer haileti pesa, bali inakula pesa ktk mafuta na vipuri. May be I don't know how it feels like to be a star....
Misifa kaka hakuna kitu kingine baada ya kupaishwa sana na wazaire sasa mami anatka kuwafunga mdomo,no way kitega uchumi cha 250 M kitakulipa kwa kukodisha gari hiyo ni sawa na kuuza ng'ombe wako na ununue kuku eti atakutagia mayai yatakayo kuingizia kipatoHuyu dada inaonekana kabisha kuwa hajasoma shule. Hiyo ni bad investment.Kwanini a-invest 270m kwenye asset ambayo ina depreciate more than 15% annually (na ma repair costs kibao) wakati angeweza ku invest kwenye property nzuri ya biashara ambapo repair costs are minor, returns are long term and appreciation ni kubwa. Ulimbukeni tu. Maana nyumba iko stationary haijitembezi na kwa vile Hammer inajitembeza basi anataka aongeze umaarufu ki hivyo. Very sad.
...Wasipofanya hivyo watakufa njaa hao mazee kila siku habari ni kuchungulia maisha ya watu hakuna kitu kingine......Bongo lala kabisa..:mmph::mmph:bongo bwana ushamba unatusumbua, hilo ndio suala la kuandika kwenye gazeti. Safi dada mwenyewe kajieleza vizuri yaani hajashoboka kabisa tofauti na mwandishi wa habari hy