Doto Biteko anahujumu tume ya madini, zaidi ya miezi 2 mtandao wa malipo haufanyi kazi

Doto Biteko anahujumu tume ya madini, zaidi ya miezi 2 mtandao wa malipo haufanyi kazi

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2.

Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
 
Back
Top Bottom