peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Mar 3, 2023 #1 Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2. Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2. Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi