Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
155
Reaction score
387
Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu.

Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania kama wale vijana wa Mererani wanaapolo walikuwa wanasema kuwa ulikuwa unachukua madini yao

Kanusha pia kuwa wewe ni mtanzania na si Mburundi, kanusha pia kuhusu mpango wa kitalu C cha Mererani kuwa ulitaka kukihodhi

Jipange ukanushe yote ikiwa pamoja kuwa hayati hakuwa mpwa wako kama mitandao inavyosema

Yaani kanusha vyote vyote ili mambo yaende sawa.
 
Yaani waziri atumie muda wake kukanusha uharo?

Mko serious kweli?

Halafu usitaje neno watanzania kwa ujumla, sema baadhi ya watanzania mataahira kama wewe wataamini.

Watanzania wenye akili hatuwezi kushiriki kuamini uharo eti hadi waziri akanushe, yaani waziri akanushe uharo wa kutunga?
 
Uzi wenyewe huu hapa;
 
Hii post ingeenda mbali na kuwa ya maana Kama mtoa tuhuma angukuja na evidence...
.la sivyo Ni kuchafuana tu
 
Mama alisema tafadhaaaaaaali sana kitalu C kisigusweeee.
 
Tusianzishe tu mambo kama hakuna uthibitisho. Ili yeye aweze kukanusha, pengine kungewekwa ushahidi wa wanayomtuhumu. Uzushi na fitna imekuwa kama ngao ya kufanya siasa Tanzania. Tunapokosa mambo yenye mashiko huwa tunakimbilia hata mambo ambayo ili tuyaseme lazima tuwe na akili nusu ya robo tatu.
 
Yaani waziri atumie muda wake kukanusha uharo?

Mko serious kweli?

Halafu usitaje neno watanzania kwa ujumla, sema baadhi ya watanzania mataahira kama wewe wataamini.

Watanzania wenye akili hatuwezi kushiriki kuamini uharo eti hadi waziri akanushe, yaani waziri akanushe uharo wa kutunga?
Yaani ni uharo unaotokana na mbaazi. Ni upumbaff kuanzisha tuhuma za kijinga kama hizi bila kuwa na ushahidi japo kidogo. Yaani wajinga hawa wameshiba ugali na dagaa wanaanzisha threads zisizo na kichwa wala mguu. Mengi yanesemwa mara Doto James kafanya hivi mara vile.
 
Back
Top Bottom