Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu.
Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania kama wale vijana wa Mererani wanaapolo walikuwa wanasema kuwa ulikuwa unachukua madini yao
Kanusha pia kuwa wewe ni mtanzania na si Mburundi, kanusha pia kuhusu mpango wa kitalu C cha Mererani kuwa ulitaka kukihodhi
Jipange ukanushe yote ikiwa pamoja kuwa hayati hakuwa mpwa wako kama mitandao inavyosema
Yaani kanusha vyote vyote ili mambo yaende sawa.