Kweli mkuuTusianzishe tu mambo kama hakuna uthibitisho. Ili yeye aweze kukanusha, pengine kungewekwa ushahidi wa wanayomtuhumu. Uzushi na fitna imekuwa kama ngao ya kufanya siasa Tanzania. Tunapokosa mambo yenye mashiko huwa tunakimbilia hata mambo ambayo ili tuyaseme lazima tuwe na akili nusu ya robo tatu.
TakatakaWaziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu.
Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania kama wale vijana wa Mererani wanaapolo walikuwa wanasema kuwa ulikuwa unachukua madini yao
Kanusha pia kuwa wewe ni mtanzania na si Mburundi, kanusha pia kuhusu mpango wa kitalu C cha Mererani kuwa ulitaka kukihodhi
Jipange ukanushe yote ikiwa pamoja kuwa hayati hakuwa mpwa wako kama mitandao inavyosema
Yaani kanusha vyote vyote ili mambo yaende sawa.
Wewe unajua nini zaidi ya ushabiki maandazi tu ulionao?Hivi wewe unajua nini kuhusu utawala wa Magufuli ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"Pale Mererani Kitalu C kisiguswe" by Mama Samia Hasssan Suluhu.
Kumbe mafisi yalishaanza kukimendea.View attachment 1759497
Athibitishe? Thubutu 🤣 anaanzajeThibitisha aliyesema hayo ni taahira
haja ya kukanusha vitu vya kipuuzi kama hivi Doto chapa kazi