Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Biteko vitongoji vingi havina umeme , saidia kuwezesha raia wapate umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we are the beast, you can not fight wiith.Hiyo U turn ya sukuma gani imekuwaje tena jamani wwkati tulikubaliana sukuma gan ni kuwafagia wote
Amtumbue Maharage ameminya maslahi ya watumishi TANESCO kiasi kwamba hujuma ni kubwa kwa sababh hawana molali ya kazi na ndicho kilichomfelisha Dkt Samia na Makamba. Hakikisha anarudisha uongozi wote ulioondolewa na Makamba kwa mihemuko, hakikisha wizara unaiongezea molali ya kazi.Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!
Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo :
1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando mengi. Haiwezi kukufikisha unapotaka. Weka watu makini bila kuzingatia uswahiba, udini wala undugu.
2. Pitia mikataba yote aliyoingia Makamba. Katika hili uwe makini kweli, uwe imara na mzalendo. Mikataba isiyofaa achana nayo na penye kurekebishika fanya hivyo.
3. Fuatilia kwa kina Mradi wa Gesi ya Mtwara. Ikiwa ni pamoja na mapitio mapya ya mkataba wa waliopewa mradi.
4. Pitia upya mradi wa ujenzi wa bwawa la Nyerere. Hakika Makamba alivuruga sana pale ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa zilizojaa ukakasi!
5. Wizara yako imejaa wapiga deal wengi, wengine wanaweza kuwa wale unaowaheshimu na kuwaogopa. Hakikisha unasimamia weledi! Hata wakikutoa ukweli wako utasimama daima na kukutetea.
Nb: Nafasi ya unaibu PM ni ya utata flani na haipo kikatiba. Hakikisha unakuwa nayo makini sana.
Nakutakia kila lakheri!
Hahahahahahahaaaaaa!Hiyo U turn ya sukuma gani imekuwaje tena jamani wwkati tulikubaliana sukuma gan ni kuwafagia wote
Eti haipo kikatiba.Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!
Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo :
1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando mengi. Haiwezi kukufikisha unapotaka. Weka watu makini bila kuzingatia uswahiba, udini wala undugu.
2. Pitia mikataba yote aliyoingia Makamba. Katika hili uwe makini kweli, uwe imara na mzalendo. Mikataba isiyofaa achana nayo na penye kurekebishika fanya hivyo.
3. Fuatilia kwa kina Mradi wa Gesi ya Mtwara. Ikiwa ni pamoja na mapitio mapya ya mkataba wa waliopewa mradi.
4. Pitia upya mradi wa ujenzi wa bwawa la Nyerere. Hakika Makamba alivuruga sana pale ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa zilizojaa ukakasi!
5. Wizara yako imejaa wapiga deal wengi, wengine wanaweza kuwa wale unaowaheshimu na kuwaogopa. Hakikisha unasimamia weledi! Hata wakikutoa ukweli wako utasimama daima na kukutetea.
Nb: Nafasi ya unaibu PM ni ya utata flani na haipo kikatiba. Hakikisha unakuwa nayo makini sana.
Nakutakia kila lakheri!
Kuna wakati unqvomment kama vile umekpsa akili kabisa.Eti haipo kikatiba.
Hivi mnaifahamu mamlaka ya Rais wa Tanzania kikatiba?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwa yaliyotokea kuhusu DP World nadhani Kuna dude huko mbele linakuja ambalo kwa vyovyote Makamba angegoma ndo maana mama ameanza kutengeneza mazingira. Nadhani TANESCO nayo imo kwenye hayo mamikataba 36 ya waarabu. na kwa kumlinda zaidi Biteko ameona ampe na Unaibu Waziri Mkuu Ili Biteko awe ajisimamia yeye mwenyewe, hatakuwa responsible kwa Majaliwa.. Hakuna utawala waMh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!