Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Huyu Doto hana mwendo akiendelea hivi...

Pia wasomi wajue changamoto ikiisha moja inafuata ingine sasa hii ni changamoto ingine wajipambanue.
 
Bahati mbaya mvuto wa wasomi umepotea sikuhizi , Tofauti na kipindi cha nyuma ambapo Hata msomi masikini alikua anaheshimika ...

Msomi alikua anaaminika kuleta solution katika jamii, Hatakama kiuhalisia hawezi ila jamii iliweka moyo kwenye kichwa chakee ..

Tamaa ya Maisha mazuri na majivuno imefanya wasomi wa sasa kua wabinafsi , Wasio makini na Kutenda mambo ya Hovyo.. Hivyo jamii kugeukia kuamini kuwa Mtu mwenye pesa ndio ataweza kuleta mabadiliko kwenye jamii na sio Msomi ...

R.I.P kizazi kilichokua kinatupeleka kuwa Taifa bora...
 
Watu wanachanganya usomi na fikra za kibepari!

Usomi ni maarifa!

Si kila maarifa yawe connected na pesa.

Kuna maarifa ambayo yako connected na kutatua changamoto za kidunia kama magonjwa,migogoro,majanga,upumbavu na ujinga.

Hata maarifa aliyopewa mwanadamu kutoka kwa mungu hayakulenga kutafuta pesa.

LAKINI PIA TUANGALIE UWIANO WA WATU WENYE UTAJIRI AMBAO SI WASOMI NI WANGAPI KWA KILA WATU MIA MOJA AND VICEVERSA.
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote......

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.
Ishu sio msomi hawezi kutafuta pesa kama za dotto ishu ni muda wa kupambana na majukumu zaidi ya niosomoea, muda nliotumia kukaa shule yeye yupo mtaani, mantiki ya kusoma ni kufanya upatkanaji wa fedha usiwe mgumu katika kutafuta. Yamkin maarifa nilionayo sas ndio yalimchangia huyo dotto kufikia hapo hatukuumbwa wote kuwa matajiri,
Kama ukiangalia kwa undan lengo la kusoma sio kupata utajili ni kwaajili ya kuisaidia jamii inayotuzunguka akiwepo dotto, kazi za kisomi yamkini ndizo zmemfanya akajulikana kila kona lakin msomi hawez kljitokeza anajitokeza msemajo dotto

Mtaani na jamii wanasahau nyuma yao kuna wasomi ndio wanaopambana mambo gao yanakwenda mfano biashara, kilimo, afya, usalama, usafiri, nk zote ni wataalam wapo kazini ndio wasiosoma wanafikiwa jaman

Ifikie hatua wasiosoma watambue mchango wa waliosoma sio kuwa matajiri ni kipambana kuhakikisha jamii inakuwa salama yenye afya utulivu na mambo mengne ndio maana dotto anajion yeye ni zaidi ya msomi kusahau kumbe nyuma watu wanampambania kwa hiko kidogo anachopata mtumishi awe wa serikali au sekta binafsi

Nadhan ndio walioifikiaha dunia hii leo kuitwa ya science na technolojia sio ya umaarufu, wasomi ni maarufu kwa kazi zao kwa kifupi tu
 
Wasomi mnaokasirika kwasababu kwa haya maneno ya huyu mtu ni kweli wengi wenu mna maisha magumu na hamridhiki na kipato chenu na mbaya zaidi hamna mnaloweza fanya kukuza kipato...

Kwenye haya maisha kuna watu wengi hawana uwezo wa kununua hizo gari za gharama lakini kwa maono yao wamefanikiwa, elimu yao imewalipa na wameridhika na wanachokifanya na wanakifurahia.

Shida ipo kwa ninyi wasomi mnaotaka kushindana na kina Doto kua na V8, una uhakika wewe unaitaka hiyo?? Hiyo ndo ndoto yako? Au Doto Magari amekuinsipire kua ili uwe umefanikiwa ni lazima uwe na gari kali na uishi kama anavyoishi yeye mtandaoni??

Huo usomi wenu uko wapi hadi kutoa shutma na kumkasirikia huyo kijana?
Mna wivu nae ...

Kufanikiwa ni nini kwako? Kama mnaelea pamoja na Doto Magari basi kejeli zake zinakuhusu sana wewe msomi maskini.
 
Acha watukanwe tu, wasomi wenyewe akina mwijaku (wapakuliwa)
😄 ila kwa tunaomjuwa huyu jamaa kapitia mengi..kipindi hicho mteja gari limewaka,anapiga debe manyanya ila dotto na uteja wake hajawahi kuwa mwizi
Sema ukikutana naye alikuwa mtu wa sound!
Wenzake wengi walishatangulia mbele ya haki
Haya maneno maneno toka zamani 😄

Ova
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

Huyu naye ni mchumia tumbo kama wengine tu mkuu.
 
Wasomi mnaokasirika kwasababu kwa haya maneno ya huyu mtu ni kweli wengi wenu mna maisha magumu na hamridhiki na kipato chenu na mbaya zaidi hamna mnaloweza fanya kukuza kipato...

Kwenye haya maisha kuna watu wengi hawana uwezo wa kununua hizo gari za gharama lakini kwa maono yao wamefanikiwa, elimu yao imewalipa na wameridhika na wanachokifanya na wanakifurahia.

Shida ipo kwa ninyi wasomi mnaotaka kushindana na kina Doto kua na V8, una uhakika wewe unaitaka hiyo?? Hiyo ndo ndoto yako? Au Doto Magari amekuinsipire kua ili uwe umefanikiwa ni lazima uwe na gari kali na uishi kama anavyoishi yeye mtandaoni??

Huo usomi wenu uko wapi hadi kutoa shutma na kumkasirikia huyo kijana?
Mna wivu nae ...

Kufanikiwa ni nini kwako? Kama mnaelea pamoja na Doto Magari basi kejeli zake zinakuhusu sana wewe msomi maskini.
😄

Ova
 
😄 ila kwa tunaomjuwa huyu jamaa kapitia mengi..kipindi hicho mteja gari limewaka,anapiga debe manyanya ila dotto na uteja wake hajawahi kuwa mwizi
Sema ukikutana naye alikuwa mtu wa sound!
Wenzake wengi walishatangulia mbele ya haki
Haya maneno maneno toka zamani 😄

Ova
Watu wote wa kino dotto wanamjua vizuri, halafu kilikuaga chembamba sana
 
Back
Top Bottom