Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

Ameona fursa.
Ila kuifuga hiyo midudu sijui amewaza nini! Bora awaachie wachaga na wanyakyusa
 
Namkubali sana Mtoto wa Mama Kizimkazi na hapa ipo ,anapiga maokoto sana!! Bongo lazima ujitoe ufahamu ili pige pesa ,yote anafanya kwa kuzingatia maokoto.
 
Ukishamuona huyo jamaa anayeitwa Mkondya changanya na za kwako.

halafu kombination hiyo ni nzuri sana Mkondya na doto magari wote wajuzi wa kuongea
Huyo mkondya ni yule jamaa wa Valina.kuna watu waliingia kule kwenye vanila wakaangukia pua
 
na mwezi umeshaisha hivi atapata wateja wengi. inasemekana jana mabaa yalijaaa ajabu, na maguest house nchi nzima yalijaa. watu walitoka kwenye kifungo. hadi majini yamemaliza mfungo ukijichanganya unaweza kukutana nayo. manake nayo yanamwabudu allah.
 
Mradi una gharama ya milion 70 ,una nguruwe 1000. Kila nguruwe anatumia 300,000 Kwa ajili ya chakula Kila siku maana yake Kila siku anatumia milion 300. Kuna ukweli juu ya hili?
 
Ikizidi Sana anatakiwa ale 1500 Kwa siku. Zaidi ya hapo ni hasara otherwise uwe mfugaji na muuzaji wa nyama wa mwisho uwe wewe mwenyewe. Lakini ukumkuza Kwa 2000 Kwa siku alafu ukamuuza Kwa mtu kati hapo inakuwa ulikuwa umeweka kibubu tu
 
Ikizidi Sana anatakiwa ale 1500 Kwa siku. Zaidi ya hapo ni hasara otherwise uwe mfugaji na muuzaji wa nyama wa mwisho uwe wewe mwenyewe. Lakini ukumkuza Kwa 2000 Kwa siku alafu ukamuuza Kwa mtu kati hapo inakuwa ulikuwa umeweka kibubu tu
Kweli Mkuu

Naona atakuwa amepewa kazi ya kutangaza huo Mradi Kwa kulipwa ujira.

Huwezi kuwa mfugaji eti useme Nguruwe wake wanakula chakula cha shilingi 300k Kwa Siku utasema huyo Nguruwe akija kuuzwa, atauzwa milioni 100

Maana Kwa cost analysis, huyo Nguruwe hadi aje akue na auzwe atakuwa amekuzwa zaidi ya Siku 200, piga shilingi 300,000 x 200= 60,000,000

Nadhani aendelee kuwadanganya watu wake wa Instagram na TikTok lakini sio hapa JF
 
Sometime Hawa wadau Huwa wanaropoka hivyo makusudi ili kuleta attention. Hali hiyo hufanya habari kusomwa zaidi so hapo ujumbe utawafikia wengi
 
Dah, huyu jamaa ni empty kabisa, sasa kama gharama kwa miezi sita ndio hiyo zaidi ya milioni 60, atamuuza kwa milioni 80. Yaani pesa ya kununulia coaster/TATA unaweka barabarani ndiyo ukanunulie nguruwe mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…