Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.
Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.
Msikize zaidi kwenye video hapo chini.
View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE
Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

Haina kweree dogo. Naweza kuja home kwenu heavily gated affluent neighborhood Nile burger na pizza na kucheza Xbox na playstation?
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.
Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.
Msikize zaidi kwenye video hapo chini.
View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE
Accumen Mo darcity mrangi King Kong III
Ikizidi Sana anatakiwa ale 1500 Kwa siku. Zaidi ya hapo ni hasara otherwise uwe mfugaji na muuzaji wa nyama wa mwisho uwe wewe mwenyewe. Lakini ukumkuza Kwa 2000 Kwa siku alafu ukamuuza Kwa mtu kati hapo inakuwa ulikuwa umeweka kibubu tuHakuna Nguruwe anakula chakula cha shilingi laki 3 Kwa Siku
Mwambie awe mkweli
Kitendo cha kutaja gharama kubwa kwenye Mradi wake itawafanya ma-hustler wengine kuogopa kuwekeza wakati tunafahamu gharama za chakula Kwa Nguruwe mmoja hutumia less than 10k
By the way hongera kwake kuweza kuwekeza
To the gentlemen out there, try to invest for every single cent you get
The rewards will be higher when the energy is no longer with your body 🙌
Kweli MkuuIkizidi Sana anatakiwa ale 1500 Kwa siku. Zaidi ya hapo ni hasara otherwise uwe mfugaji na muuzaji wa nyama wa mwisho uwe wewe mwenyewe. Lakini ukumkuza Kwa 2000 Kwa siku alafu ukamuuza Kwa mtu kati hapo inakuwa ulikuwa umeweka kibubu tu
Sometime Hawa wadau Huwa wanaropoka hivyo makusudi ili kuleta attention. Hali hiyo hufanya habari kusomwa zaidi so hapo ujumbe utawafikia wengiKweli Mkuu
Naona atakuwa amepewa kazi ya kutangaza huo Mradi Kwa kulipwa ujira.
Huwezi kuwa mfugaji eti useme Nguruwe wake wanakula chakula cha shilingi 300k Kwa Siku utasema huyo Nguruwe akija kuuzwa, atauzwa milioni 100
Maana Kwa cost analysis, huyo Nguruwe hadi aje akue na auzwe atakuwa amekuzwa zaidi ya Siku 200, piga shilingi 300,000 x 200= 60,000,000
Nadhani aendelee kuwadanganya watu wake wa Instagram na TikTok lakini sio hapa JF
Dah, huyu jamaa ni empty kabisa, sasa kama gharama kwa miezi sita ndio hiyo zaidi ya milioni 60, atamuuza kwa milioni 80. Yaani pesa ya kununulia coaster/TATA unaweka barabarani ndiyo ukanunulie nguruwe mnyama.Kweli Mkuu