Ila ni kuzua taharuki Kwa jamiiSometime Hawa wadau Huwa wanaropoka hivyo makusudi ili kuleta attention. Hali hiyo hufanya habari kusomwa zaidi so hapo ujumbe utawafikia wengi
Kwahiyo, kama nguruwe wake mmoja anakula chakula cha laki 3 kwa siku, atamuuza shilingi ngapi? AU atakula mwenye na familia yake?Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.
Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.
Msikize zaidi kwenye video hapo chini.
View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE
Accumen Mo darcity mrangi King Kong III
Sijui huwa Wanafaidika na nini kufanya uzushi wa namna hiyoDah, huyu jamaa ni empty kabisa, sasa kama gharama kwa miezi sita ndio hiyo zaidi ya milioni 60, atamuuza kwa milioni 80. Yaani pesa ya kununulia coaster/TATA unaweka barabarani ndiyo ukanunulie nguruwe mnyama.
Kama upo around morogoro njoo nikuuzie mbegu ya kisasaIla ni kuzua taharuki Kwa jamii
Inaonekana ameropoka pasipo kufanya utafiti wa hoja yake
Ila ameni-ispire sana kufanya huo ufugaji
Kama nitapata site nzuri, naweza kuanza mwakani panapo majaliwa
Una uza shilingi ngapi Mkuu?Kama upo around morogoro njoo nikuuzie mbegu ya kisasa
Itoshe kusema hilo jamaa ni lipumbavu! Akila laki 3 kwa siku utamuuzaje? Hakuna nguruwe anakula zaidi ya shilingi elfu 5 kwa siku!Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Dini ni mafundisho ambayo hutegemea jinsi ulivyoyapokea!!!Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.
Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.
Msikize zaidi kwenye video hapo chini.
View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE
Accumen Mo darcity mrangi King Kong III
Bei ni maelewano. Kiukweli nguruwe adui yake mkubwa ni homa Yao Ile swine fever, huu ugonjwa ukiingia bandani kwako ni hatari sana. Hayo magonjwa hayajawahi nisumbua zaidi ni dawa za minyoo, multivitamin mpaka mnyama namuuza bila dawa nyingine yoyoteUna uza shilingi ngapi Mkuu?
Na vipi uzao wake/kuhimili magonjwa n.k

Ni mbegu ile ya Kisasa Mkuu?Bei ni maelewano. Kiukweli nguruwe adui yake mkubwa ni homa Yao Ile swine fever, huu ugonjwa ukiingia bandani kwako ni hatari sana. Hayo magonjwa hayajawahi nisumbua zaidi ni dawa za minyoo, multivitamin mpaka mnyama namuuza bila dawa nyingine yoyote
Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.
Ni wa kisasa.Ni mbegu ile ya Kisasa Mkuu?
Hao nawatamani sana as ukifanikiwa kuuza, bei yake huwaga nzuri kuliko Nguruwe wa kawaida