Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

Sometime Hawa wadau Huwa wanaropoka hivyo makusudi ili kuleta attention. Hali hiyo hufanya habari kusomwa zaidi so hapo ujumbe utawafikia wengi
Ila ni kuzua taharuki Kwa jamii

Inaonekana ameropoka pasipo kufanya utafiti wa hoja yake

Ila ameni-ispire sana kufanya huo ufugaji

Kama nitapata site nzuri, naweza kuanza mwakani panapo majaliwa
 
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

Kwahiyo, kama nguruwe wake mmoja anakula chakula cha laki 3 kwa siku, atamuuza shilingi ngapi? AU atakula mwenye na familia yake?
 
Dah, huyu jamaa ni empty kabisa, sasa kama gharama kwa miezi sita ndio hiyo zaidi ya milioni 60, atamuuza kwa milioni 80. Yaani pesa ya kununulia coaster/TATA unaweka barabarani ndiyo ukanunulie nguruwe mnyama.
Sijui huwa Wanafaidika na nini kufanya uzushi wa namna hiyo

Niliona pia anasema amevaa cheni ya dhahabu ya shilingi milioni 7.5 na 12 🙌

Yaani yote hayo kwaajili ya umaarufu tu 🙌
 
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

Dini ni mafundisho ambayo hutegemea jinsi ulivyoyapokea!!!
 
1688046815544.jpg
 
Una uza shilingi ngapi Mkuu?

Na vipi uzao wake/kuhimili magonjwa n.k
Bei ni maelewano. Kiukweli nguruwe adui yake mkubwa ni homa Yao Ile swine fever, huu ugonjwa ukiingia bandani kwako ni hatari sana. Hayo magonjwa hayajawahi nisumbua zaidi ni dawa za minyoo, multivitamin mpaka mnyama namuuza bila dawa nyingine yoyote
 
Ni mbegu ile ya Kisasa Mkuu?

Hao nawatamani sana as ukifanikiwa kuuza, bei yake huwaga nzuri kuliko Nguruwe wa kawaida
 
Hiyo milioni sabini ya mat@#&ko yake,halafu hawa chawa nina wasiwasi kuwa ni emtee upstairs.Mbaya zaidi hao kitimoto aliyewaongezea sifuri utakuta ni wa bosi wake.
 
Kuna watu wanafikiri kuwa na misifa kwenye mtandao ndio umaharufu huyo si ndio wanamsemaga anaishi kwao ,kulisha nguruwe laki 3 na kujenga nyumba kipi bora .haiingii akilini sio kweli hiyo story
 
Back
Top Bottom