Mheshimiwa Doto1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.
2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.
Nini maoni yako?
Mauki ndio yule influensa wa mahusiano?Mauki si ndio yule motivesheno spika wa kutafsirii vitabu vya wazungu na kuwadanganya wanawake na maneno ya hapa na pale.
Samahani wakuu....
Kwani hao ni akina nani huko daslam..🤔
Asiefaa kafaaaDoto Magari infolensa
Ukihitajika utaitwa
Mungu endelea kujificha hivo hivo usionekane