Doto Magari Vs Mauki

Doto Magari Vs Mauki

Dotto ni true meaning ya hustler, from 0 to hero.

Kwa kiwango chake yeye mwenyewe Dotto ame accomplish makubwa kwa mlinganisho wa alipotoka mpaka alipo.

Akipata muongozo, Dotto anaweza kuja kuwa one of the most renowned influencers nchini.

Maisha ya Dotto ni maudhui tosha ya kuweza ku motivate mtu. Haitaji script wala kitabu.
 
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.

2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.

Nini maoni yako?
Mheshimiwa Doto
 
Back
Top Bottom