Doto Magari Vs Mauki

Doto Magari Vs Mauki

1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.

2. Ukiniuliza
Subscribed threads
mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.

Nini maoni yako?
Doto ni dalali na mpiga domo tu ila Mauki kichwa yake iko sawa kuhusu pesa wote bado wanajitafta japo Mauki cyo chawa
 
Sina hata mmoja hapo, napambana na maisha kivyangu

1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.

2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.

Nini maoni yako?
Usimfananishe Dotto magari na vitu vya hovyo
 
Mauki amekuwepo tangu zama za babu wa loliondo ,Dr shika,Piere oooo mama,Mandonga na Sasa Dotto ana consistency kwenye anachofanya kutokana na elimu yake Wala hajawahi kujipendekeza kwenye chama Wala mtu inawezekana hatukubaliani na mitizamo yake ila jamaa ni mtu sana kwenye carrier yake
 
Doto akiumwa miezi sita tu akizinduka mke kaishaolewa,watoto wamefukuzwa shule nk
 
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.

2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.

Nini maoni yako?
Mods hili jukwaa limeharibika

Wekekeni madaraja tujadili kwa madaraja

Mnaweza weka jukwaa la watu wa mamba mwepesi na ujinga

Hivi mtu mjinga kama doto magari ndo wa kujadiliwa hapa?
 
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.

2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.

Nini maoni yako?
Doto mhuni...hawa ni wale walitanguliza miguu badala ya kichwa wakati wa kuzaliwa!
 
Back
Top Bottom