Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea
kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%.
Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni 7456, huku Wajumbe wasiohudhuria wakiwa ni 389, ambapo Idadi ya kura zilizopigwa ikiwa 7456, Idadi ya kura ambazo zilizoharibika ni 15, kura halali zikiwa 7441.
KURA ZA NDIO 7441
KURA ZA HAPANA 00
WASTANI WA WAPIGA KURA WALIOJITOKEZA NI 95.04%