Nje ya mada.... Hivi zile stori za kwamba umeme utapungua bei baada ya bwawa kuanza kazi zilikua za vijiwe vya kahawa tu eee?....
 

Inasikitisha sana
 
Mkuu Matege unazungumziaje hilo lakufungulia maji na kuleta kadhia kwa wanavijiji ?
 
Kama wanasema maji ni mengi basi kuwe na plan ya kuyatumia maji yaliyozidi kama chanzo cha maji safi ili kuyasambaza mikoa ya karibu ya Pwani, Dar na Moro.
 
Ahaaaa jamani tukae tukijua vyama vya upinzani sio uadui isipo kuwa wao ni wapinzani isitegemee kusifiwa na chama pinzani. Mfano tunachumbia binti mmoja mie ntakuja kukusudia vip????
 
Hii serikali yetu kama watoto wa nursery yaani kila kitu ni majaribio tu..
Sasa maji yakiwa hakuna umeme shida maji yakiwa mengi umeme shida
Hii ni nchi au ni henge la wahuni..
Ni nchi ila Serikali ndiyo genge lililojaa Wahuni.
 
Ahaaaa jamani tukae tukijua vyama vya upinzani sio uadui isipo kuwa wao ni wapinzani isitegemee kusifiwa na chama pinzani. Mfano tunachumbia binti mmoja mie ntakuja kukusudia vip????

Ndiyo wapinge hata vitu vya maana?
 
Kuna kitu hakipo sawa hapa.
-Kulikuwa hakuna plan baada ya miezi kadhaa kiwango cha maji kiwe kimefikia level flani?
-Na kama iko kiwango kilikuwa kimefikiwa badaa ya siku kadhaa au wiki badala ya miezi hawakuona kwamba ile estimation mwanzo ilikuwa sio sawa?
-Na kwanini hakufanyika assessement nyingine ili kurekebisha makosa?
-Na hakuna mtu au watu wanao assess level ya maji kila siku?
-Kwa nini maji hayakufunguliwa au kuwa divert kulipooneka kiwango cha maji ni kikubwa?
-Hivi kwenye project kubwa kama hizi kunakuwa hakuna tea meetings kila siku watu wana update sehemu zao na kama kuna tatizo linatafutiwa ufumbuzi? Hii inasadia sana kuepuka makosa na gharama zisizo na ulazima.
 

Ushauri mzuri
 
Sasa walitaka bwawa lisijae haraka ili waendelee na mgao wa umeme. Nilitarajie liwe jambo jema na heri sasa imekuwa shida tena.
Mtera wamefungulia yanaenda tu.
 
Translation: Kiangazi kukiwa hakuna mvua basi mashine hazitafanya kazi..., Masika kwenye mvua maji yakijaa sana basi mashine zitazimwa..., In short ni bora hizo mashine zisiwepo kabisa sababu either way zinazimwa,,,,
 
Kwenye Dams zote kubwa, maji yanayozidi kiwango huwa hayafunguliwi bali katika ujenzi wake, kuna sehemu hujengwa kutapishia maji yanayozidi kiwango ili ku retain maxmum level.
Maneno yote haya ni ngonjera zenye nia ovu zilizokusudia lengo fulani.
 
Legacy gani? Mbona wale wa Ethiopia hawasifii lele Bwawa lao kwamba n Legacy ya Waziri mkuu wao? Tupunguze ujinga, Taifa linajaaa ujinga mtupu,
UJINGA KAMA WEWE UNA AMKA ASUBUIO KABLA KUNYWA CHAI UNASEMA "NAMSHUKURU MHE.RAIS SAMIA KWA KWA KWA KWA KWA "
 
Uliwaamini vichaa wasio na takwimu. Chadema wenyewe hutoa hoja zenye vigezo
 
Hii Chadema itakuua ndugu yangu. Kwahiyo CCM ndo imekojolea hilo bwawa si ndio eehh!!

Kwamba hujui hata mvua kuzidi kiwango ni madhara ya mabadiliko ya tabia nchi? Acha uchizi usaidiwe.
CCM ina watu wajinga haswa
 
Dotto amekuwa afisa habari TANESCO!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…