Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hueleweki, maji yamejaa kwa hivyo kinu kimezimwa?Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Kinachoshangaza hilo bwawa halina level indicator na hakuna drainage systems ( pumps) za kutoa maji yanayozidi? Mbona inatia shaka kwamba kwa kuwa Chadema walisema halitajaa, wakaamini na leo bila aibu unatangaza ni sababu ya Chadema??? Wangesema litajaa kwa wiki moja??Basi hili bwawa halitofanya kazi kabisa kama Kuna makosa ya kiutaalamu kiasi hiki?? Kadirio iwe ni kujaa kwa miaka 2 halafu lijae kwa mwzi mmoja? !! Hii siyo error, ni mistake.
Naibu waziri mkuu awe mkweli tu. Kilichosababisha mtambo kuzimwa ni kiasi kikubwa cha maji yanayomwagikia mto Ruvu na kusababisha mafuriko makubwa maeneo yote ya Kibiti.
Hili bwawa halikujengwa kitaalamu na hata utafiti wa athari za kimazingira haukuzingatiwa . Mm kishoka wa TANESCO nayajua haya. Biteko asiongope.
Sisiemu mnatuaminisha kua hata bwana kujaa kabla ya wakati nitatizo pia lakukosa umeme? Sasa mnataka kitu gani kwenu ndio sahihi?Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Jifunze kusoma na kuandika jombaa... au rudia darasa la pili ili ufundishwe kusoma na kuandika kiswahiliUwezi kumkimbia MAGUFURI ukataka kufuta LEGACY yake
Atakumbukwa Daima Baba wa uzarendo TANZANIA na AFRICA kwa ujumla ukiwaweka sahani moja na wamba waAFRCA kama GWIJI NYERERE DADA IDIAMIN MUGABE LUMUMBA na GADDAFI hao wamba waliamini maendeleo ya AFRCA yataletwa na WAAFRCA wenyewe
Nchi inawajinga wengi mkuu.Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
KilazaNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Mtuwekeege na chanzo cha habari.
Kilaza
Maji hakuna kata umeme,maji yamejaa kata umeme [emoji16][emoji16]Kwa hiyo mkuu unaona hapo unafuu uko wapi kama limejaa limekuwa kosa na lilikuwa halija jaa nalo lilikuwa kosa?
Bongo labda umsikilize tu Jay Mo kati ya mvua na jua yake ile naona alikuwa anawauliza wizara hii.
Huo mgao uliisha lini,hapa tu naandika nipo kwa giza totoroHuko kuzima mtambo hakumaanishi uzalishaji wa umeme utapungua?
Lugha zote waongee lakini wasije wakaturudisha kwenye ule mgao.
Weww Seema tu unataka kuleta hbr za cdm hapaNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Hivi haiwezekani kuweka mabomba hayo maji yanayozidi yakaletwa Dar au Dodoma kwa matumizi ya nyumbani?
Ahahahaha kwamba BrazilDesign ya kwanza ya Brazil mwendazake aliipiga chini, kwa kisingizio ni gharama kubwa.
Hayo ni matokeo ya kupunguza gharama.
Yule jamaa alitumia formula za chemicals kufanya economics za Hydro engineering. Hayo ndiyo matokeo ya ujinga wa Mtanzania.
Na mabwawa mengine huko Duniani yakijaa maji tu mashine zinazimwa?Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.