Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wanafikiri Watanzania wote ni Mambumbumbu waliofukizwa moshi wa Mwenge.Hiyo milango ni kwa ajili ya kupunguza maji ambayo yamezidi dam level sasa Cha kushangaza tunaambiwa mashine inazimwa sababu ya maji kujaa. Duh!
View attachment 2952794
Wakina Lucas Mwashambwa wakidanganywa wanajua ni kweli wabubujikwa na machoziYaani wanafikiri Watanzania wote ni Mambumbumbu waliofukizwa moshi wa Mwenge.
Husiangaike na hawa kondoo wanaotafuta malisho, kila linalosemwa hawawezi kutumia akili yao kuchambua wanaruka nalo lilivyo na madongo kwa Chadema ambayo kimsingi haihusiki na chochote.Hiyo milango ni kwa ajili ya kupunguza maji ambayo yamezidi dam level sasa Cha kushangaza tunaambiwa mashine inazimwa sababu ya maji kujaa. Duh!
View attachment 2952794
Yule ni wa kumpuuza tu.Ak
Wakina Lucas Mwashambwa wakidanganywa wanajua ni kweli wabubujikwa na machozi
Mmekutana pua na kamasi hapoNa bwawa la kidatu nalo ambalo limesababisha umeme ukatike nchi nzima ni design ya nani?, kuwa bibi alafu mjinga inaumiza wajukuu zako
Ni hatari sana.Inaonekana limejengwa chini ya usawa wa bahari.Litakuwa likijaa kupitiliza kila mvua zikinyesha.Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Tena siyo mistake, itakuwa ni blunder. Yaani plan ni bwawa lijae kwa miaka 2 halafu linajaa kwa mwezi mmoja! Kama ujenzi ulizingatia maji kujaa kwa miaka miwili, halafu mwezi mmoja tu limejaa, bwawa hili linaweza kuwa ni janga.Basi hili bwawa halitofanya kazi kabisa kama Kuna makosa ya kiutaalamu kiasi hiki?? Kadirio iwe ni kujaa kwa miaka 2 halafu lijae kwa mwzi mmoja? !! Hii siyo error, ni mistake.
Naibu waziri mkuu awe mkweli tu. Kilichosababisha mtambo kuzimwa ni kiasi kikubwa cha maji yanayomwagikia mto Ruvu na kusababisha mafuriko makubwa maeneo yote ya Kibiti.
Hili bwawa halikujengwa kitaalamu na hata utafiti wa athari za kimazingira haukuzingatiwa . Mm kishoka wa TANESCO nayajua haya. Biteko asiongope.
Tena siyo mistake, itakuwa ni blunder. Yaani plan ni bwawa lijae kwa miaka 2 halafu linajaa kwa mwezi mmoja! Kama ujenzi ulizingatia maji kujaa kwa miaka miwili, halafu mwezi mmoja tu limejaa, bwawa hili linaweza kuwa ni janga. Kwa kawaida, kuta zinajengwa kwaajili ya kuhimili uzito fulani kwa muda fulani tu, na any excessive water volume huwa ina njia ya kutokea. Kama hakuna njia ya kutolea excessive water volume, basi hili bwawa letu litakuwa la ajabu!
kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa
JNHPP halijaanza uzalishaji umeme wowote kwa kuwa ujenzi wake unaendelea chini ya changamoto kubwa
nchi ngumu hii
Tena siyo mistake, itakuwa ni blunder. Yaani plan ni bwawa lijae kwa miaka 2 halafu linajaa kwa mwezi mmoja! Kama ujenzi ulizingatia maji kujaa kwa miaka miwili, halafu mwezi mmoja tu limejaa, bwawa hili linaweza kuwa ni janga. Kwa kawaida, kuta zinajengwa kwaajili ya kuhimili uzito fulani kwa muda fulani tu, na any excessive water volume huwa ina njia ya kutokea. Kama hakuna njia ya kutolea excessive water volume, basi hili bwawa letu litakuwa la ajabu!
..mwanzo Biteko alisema wanawasha mitambo, kabla ya walivyokuwa wameahidi, kwasababu tumebarikiwa mvua nyingi.
..sasa Biteko kageuza kauli kwamba mitambo inazimwa kwasababu tumepata mvua nyingi. Yaani sababu ya kuwasha mitambo ndiyo hiyohiyo sababu ya kuzima mitambo.
Kwani bwawa kubwa hivyo halina auto regulation ya water level, kwamba maji yakizidi level fulani yatoke bila kupitia kwenye mitambo, mbona hiyo ni common engineering design, mmmhhh..!!Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Mabwawa yote yana kitu kinaitwa mchepuko (spilway). Sasa maji yakizidi yanafunguliwa kupita. Sasa kama mmefungua pua moja kutoa maji ya kuzalisha umeme kwa nini zile pua 7 zilizobaki zisifunguliwe pamoja na mchepuko kupunguza maji HARAKA? KUNA VIPIMO KWENYE MTO KUONYESHA MAJI YANAYOINGIA NA KUSAIDIA KUTOA UAMUZI WA KUPUNGUZA MAJI MAPEMA AU LA. BWAWA LETU KIJIJINI WANAFUNGULIA SPILLWAY NA BOMBA ZA KUTO maji yanayozidi full mpaka yanaingia mtoni kuokoa bwawa. Pia kidatu mvua zile za elnino za 1998 mbona maji hayajaingia ktk mitambo? Hao walikuwa hawakuangalia kIasi kikubwa cha naji kilichokuwa kikiingia ili kuanza kuyapunguza kabla hayajajaza bwawa kiasi cha kuhatarisha bwawa kuzidiwa maji yanayoIngia. KUNA UZEMBE.Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
kwano sababu za kumteua kuwa naibu waziri mkuu zimeisha?That is a very stupid reason, kama Doto amekubali hiyo basi nayeye ni kiazi tu kama Januari.
Bwawa lina njia yake ya kupinguzia maji, unaweza kupunguza maji huku unaendelea kuzalisha umeme.
SSH kazi anayo, akitoboa 2025 basi aende hija. Jamaa wanamtengenezea kila aina ya matatizo ili ionekane nchi imemshinda.