johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema unawasingizia 😂😂😂Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.