Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere
St

Storage facilities za umeme wa megawatt 200 mpaka 1000 ni kama zipi? Mabetry 1000,000 ya gari yatumike kutunza charge? Kuna vifaa gani special?

Kila mwenye betri la la gari asiye na kazi nalo,tunaliomba
Wakiacha ujinga wa kununua gari za million 500 kila mwaka. Kuna namna wanaweza kubackup huo umeme either kwa inveters au capacitors.
 
Walijua kwasababu maneno haya ''Saddle dam' niliyapata wakati wa kufuatilia ujenzi
Ukiangalia clip za awali za ujenzi kuna 'saddle dam' mbili zimejengwa kwasababu ya kudhibiti maji yakizidi

Sasa tunaposikia haya kwakweli lazima tukubali kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala
Kwamba umeme hakuna kwasababu maji yamejaa! Kama si upuuzi ni ujinga wa hali ya juu sana

Anayesema hayo bila aibu si yule fundi wa VETA ni Naibu Waziri mkuu!

JokaKuu
Hata sielewi kabisa!

Sisi tatizo letu ni nini hasa?

Hapa nilipo nawaza yale sijui mafao au marupurupu ya wenza wa viongozi yanaweza kutumika kutatua tatizo kama hili la umeme kwa kiasi gani tu??!!!
 
Kwanini Mkandarasi Asikamilishe Kazi Mashine 9 Zikiwa Tayari Ndiyo Wazuie Maji Halafu Baadaye Wawashe Mitambo. Lazima Ukitazama Sana Kuna Kitu Hakisemwi. Je Mkandarasi Kafanya Kazi Yote Ama Laa
 
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.

Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga kali, Hakuna provision ya kuchepusha maji yanapozidi....

MWANANCHI ONLINE
APRIL 1st 2024

Mashine yazimwa Julius Nyerere

View attachment 2951205
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dr. Dotto Biteko, akikagua mitambo ya kufua umeme

Biteko amesema kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kutangaza uwepo wa mvua kubwa kwenye maeneo mengi, wizara hiyo itaendelea kuchukua kila hatua ya tahadhari

“Mfano Kituo cha Julius Nyerere ipo mashine moja ya kuzalisha umeme, lakini maji yanayozalishwa pale ni mengi sana kinyume kabisa na mipango tuliyokuwa nayo"

Maana tulikuwa tunajua kwamba Julius nyerere ingeweza kujaa bwawa lile mwezi wa 12 mwaka 2026, lakini yamejaa ndani ya msimu huu tu mmoja na yale maji yanavyojaa yanakuja mengi kwa wakati mmoja,” amesema.

Amesema baada ya kuona wingi walitoa tahadhari Machi kwa watu wote walioko upande wa chini wa bwawa, kwamba wangeachia maji maana uwezo wa kuendelea kuyashikilia haupo.

“Ukianza kufungulia yale maji, Julius Nyerere lazima uizime, maana yanayotoka juu ni mengi zaidi kuliko yanayotoka kwenye teresi, hivyo ninavyozungumza mtambo wa Julius Nyerere tumeuzima, tunapunguza maji ili tupate umeme," amesema Dk Biteko
Hivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃
 
Hivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃
Hiyo pump itahitaji umeme sawa au zaidi ya uliozalishwa na maji yanayotakiwa kurudishwa bwawani!

Principles of energy haziko unavyofikiria.
 
Bwawa kujaa ni tatizo na maji yakipungua ndo tatizo kubwa zaidi.Ni kifanyike kwa ujinga huu unaoendele huko juu????..
 
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.

Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga kali, Hakuna provision ya kuchepusha maji yanapozidi....

MWANANCHI ONLINE
APRIL 1st 2024

Mashine yazimwa Julius Nyerere

View attachment 2951205
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dr. Dotto Biteko, akikagua mitambo ya kufua umeme

Biteko amesema kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kutangaza uwepo wa mvua kubwa kwenye maeneo mengi, wizara hiyo itaendelea kuchukua kila hatua ya tahadhari

“Mfano Kituo cha Julius Nyerere ipo mashine moja ya kuzalisha umeme, lakini maji yanayozalishwa pale ni mengi sana kinyume kabisa na mipango tuliyokuwa nayo"

Maana tulikuwa tunajua kwamba Julius nyerere ingeweza kujaa bwawa lile mwezi wa 12 mwaka 2026, lakini yamejaa ndani ya msimu huu tu mmoja na yale maji yanavyojaa yanakuja mengi kwa wakati mmoja,” amesema.

Amesema baada ya kuona wingi walitoa tahadhari Machi kwa watu wote walioko upande wa chini wa bwawa, kwamba wangeachia maji maana uwezo wa kuendelea kuyashikilia haupo.

“Ukianza kufungulia yale maji, Julius Nyerere lazima uizime, maana yanayotoka juu ni mengi zaidi kuliko yanayotoka kwenye teresi, hivyo ninavyozungumza mtambo wa Julius Nyerere tumeuzima, tunapunguza maji ili tupate umeme," amesema Dk Biteko
Hata ChukuwaChakoMapema KINDAKINDA wanaona AIBU!
It's too much Kwa kweli!
 
Hayo yote hawakuwa wameyaona awali?

Hakukuwepo na contingency plans zozote zile kuhusu maji kuwa mengi?
Waliona wakati wa Ujenzi kwamba mashine zitafungwa 9, lakini baada ya Ujenzi wapiga dili wakaona, wafunge moja Kwanza , zingine zisubiri mitambo hiharibike na adha zingine zitoke. , ili muhimu wa tatizo uwepo.
 
Hivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃
haiwezekani kuyarudisha juu kwa pump, kwa sababu utatumia umeme ule ule, kiasi kile kile, ulichovuna wakati maji yanaporomoka chini... First Law of Thermodynamics

Waziri anasema wameshatoa fair warning kwa raia wanaokaa chini ya bwawa!

Sasa hayo maji yanayokuja kuzoa raia Rufiji sijui yatakuwa na umeme masikini ya Mungu ???
 
Wajinga ndio waliwao.

Kuna watu waliamini mbwembwe za kuwepo ili bwawa ndio kuisha shida ya umeme.

Basi niwape pole.
 
Miaka yote ilikua ni tetesi tu ila sasa it is confirmed kwamba kuna watu wananufaika na sisi kukosa umeme.

Hilo bwawa la Nyerere halitakaa litumike na tatizo la umeme halitakaa liishe.
 
Walijua kwasababu maneno haya ''Saddle dam' niliyapata wakati wa kufuatilia ujenzi
Ukiangalia clip za awali za ujenzi kuna 'saddle dam' mbili zimejengwa kwasababu ya kudhibiti maji yakizidi

Sasa tunaposikia haya kwakweli lazima tukubali kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala
Kwamba umeme hakuna kwasababu maji yamejaa! Kama si upuuzi ni ujinga wa hali ya juu sana

Anayesema hayo bila aibu si yule fundi wa VETA ni Naibu Waziri mkuu!

JokaKuu
Mkuu nakuunga mkono, wakati wa ufunguzi walionyesha design ikiwa na hiyo solution.
Yaani kwa mtu ambaye anauelewa inashangaza sana. Maswali ni mengi kuliko majibu.
Labda kama DPM ameficha sababu ya msingi, hivyo kaamua kuzuga tu ili kuwatuliza wananchi.
 
Tena next time tanesco wakate umeme masaaa hata 110 totally blackout.....
Watanzania watavumiliaaa tu ila matusi mtandoni mtakula

Ova
 
No matter what source of energy you will use to pump the water back to the dam; you will have to use the same amount of energy generated by the water.

Ukisikia zero work done ndio hivyo sasa.
Kujenga mto uzunguke urudi tena bwawani???
 
Back
Top Bottom