Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere
Kujenga mto uzunguke urudi tena bwawani???
Ndoto za alinacha hizo ndugu! Always water flows downstream kuelekea baharini.

To overcome that energy ili yarudi juu sio mchezo if not impossible! Duniani huko na maujanja yao yote hakuna kichaa aliyewahi kujaribu.
 
Si mbaya kujaribu.....Kuna mahali nimeona maji taka yanashuka kwa gravity yanamwagilia mashamba....halafu hayoo yanapita yanazunguka yanakwenda kwenye bwawa ...yanarudi tena.....
 
Raisi Samia Suluhu kama kweli uko serous na UWEKEZAJI ondosha hili tatizo la UMEME shame of your Gov .Hata haya hamuna toka UHURU mpaka leo mmeshidwa kuondosha tatizo SUGU la UMEME.Huwezi kuwa na maendelea kama huna ENERGY ya Uhakika .Maji ya Uhakika .Barabara za Uhakika yaani this is toooooooo much.Serekali oneni aibuuuuuu.
 
haiwezekani kuyarudisha juu kwa pump, kwa sababu utatumia umeme ule ule, kiasi kile kile, ulichovuna wakati maji yanaporomoka chini... First Law of Thermodynamics

Waziri anasema wameshatoa fair warning kwa raia wanaokaa chini ya bwawa!

Sasa hayo maji yanayokuja kuzoa raia Rufiji sijui yatakuwa na umeme masikini ya Mungu ???
Kwani hakuna uwezekano wa kujenga bwawa lingine juu ( maji yanapotoka), ili liwe kama maji akiba maji yanapozidi kwenye bwawa,

Au yanapopungua yaachiee ku flow.

Maana najua lazima kuna sehemu inayofaa kutumzia maji, bwawa lenyewe lina urefu wa km 100.

Sasa hizo km 100, inwezeka hazina mapa a ya kutosha.
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
 
Uwezi kumkimbia MAGUFULI ukataka kufuta LEGACY yake
Atakumbukwa Daima Baba wa uzarendo TANZANIA na AFRICA kwa ujumla ukiwaweka sahani moja na wamba waAFRCA kama GWIJI NYERERE DADA IDIAMIN MUGABE LUMUMBA na GADDAFI hao wamba waliamini maendeleo ya AFRCA yataletwa na WAAFRCA wenyewe
 
Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dk Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakaini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Kwa hiyo mkuu unaona hapo unafuu uko wapi kama limejaa limekuwa kosa na lilikuwa halija jaa nalo lilikuwa kosa?

Bongo labda umsikilize tu Jay Mo kati ya mvua na jua yake ile naona alikuwa anawauliza wizara hii.
 
Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dk Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakaini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Basi hili bwawa halitofanya kazi kabisa kama Kuna makosa ya kiutaalamu kiasi hiki?? Kadirio iwe ni kujaa kwa miaka 2 halafu lijae kwa mwzi mmoja? !! Hii siyo error, ni mistake.

Naibu waziri mkuu awe mkweli tu. Kilichosababisha mtambo kuzimwa ni kiasi kikubwa cha maji yanayomwagikia mto Ruvu na kusababisha mafuriko makubwa maeneo yote ya Kibiti.

Hili bwawa halikujengwa kitaalamu na hata utafiti wa athari za kimazingira haukuzingatiwa . Mm kishoka wa TANESCO nayajua haya. Biteko asiongope.

Ushahidi huu hapa:

-2053796323.jpg
 
Uwezi kumkimbia MAGUFURI ukataka kufuta LEGACY yake
Atakumbukwa Daima Baba wa uzarendo TANZANIA na AFRICA kwa ujumla ukiwaweka sahani moja na wamba waAFRCA kama GWIJI NYERERE DADA IDIAMIN MUGABE LUMUMBA na GADDAFI hao wamba waliamini maendeleo ya AFRCA yataletwa na WAAFRCA wenyewe
Uzarendo❌
Uzalendo✅
 
Back
Top Bottom