Kwenye Dams zote kubwa, maji yanayozidi kiwango huwa hayafunguliwi bali katika ujenzi wake, kuna sehemu hujengwa kutapishia maji yanayozidi kiwango ili ku retain maxmum level.
Mameno yote haya ni ngonjera zenye nia ovu zilizokusudia lengo fulani.

Uko sahihi
 
Kwahiyo wamezima ili iweje?
TANESCO walipwe kwa mikataba mishahara.
 
[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
Mimi siyo injinia ila nahisi tu kwamba, walichelewa kuyafungulia maji na siyo kuyafungia, mana ukiyafungia yanayokuja juu si yanaruka ukuta na kuendelea na safari
 
Kama wanasema maji ni mengi basi kuwe na plan ya kuyatumia maji yaliyozidi kama chanzo cha maji safi ili kuyasambaza mikoa ya karibu ya Pwani, Dar na Moro.

Inasikitisha maji yote yanaingia baharini, ndiyo shida ya mipango ya miradi mikubwa ya matrilioni bila maono mapana.
 
Maono mapana ndiyo nini?

Kuvuna maji ya ziada kama alivyowaza mchangiaji hapo juu kuwa yatumike kwa kilimo cha Umwagiliaji na matumizi ya majumbani , comment #121 hapo juu.

#121 by watu8 : Kama wanasema maji ni mengi basi kuwe na plan ya kuyatumia maji yaliyozidi kama chanzo cha maji safi ili kuyasambaza mikoa ya karibu ya Pwani, Dar na Moro.
 
Hii Chadema itakuua ndugu yangu. Kwahiyo CCM ndo imekojolea hilo bwawa si ndio eehh!!

Kwamba hujui hata mvua kuzidi kiwango ni madhara ya mabadiliko ya tabia nchi? Acha uchizi usaidiwe.
Kisha jamaa anajua kwamba wanaokwamisha mipango ya Mwendazake ni wana Ccm wenzake lakini ni lazima aitaje Chadema. 😅😅🙏🙏
 
Sasa chadema wanahusika Nini na kujaa Kwa bwawa
Bwawa Hilo Hilo limesababisha mafuriko itakuwa chadema wamesababisha hovyo sana
 
Natamani na mimi nichangie jambo ila naona misamiati hata sielewi mara hydro mara electric yaani tabu tupu nisije changia kumbe niko nje ya mada .
Ila waziri Biteko amekosea sana aisee
 
Majibu ya Deputy Prime Minister ni mepesi kama headline za magezeti.
1.Je maji yakijaa kwenye bwawa la Nyerere hakuna njia ya kutumia mitambo ya kufua umeme hadi maji yapunguwe yenyewe?
2.Mafuriko kwenye Rufiji Delta ni jambo lipo na limekuwa linajirudia mara kwa mara,je latika kujenga hilo bwawa hilo kubwa kama ziwa , Civil Engineers waliotayarisha michoro hawakuliona hilo?
Na kama waliliona hatua gani walizichukua au watazichukuwa kwani ujenzi wa mradi bado kukamilika.
3.Umuhimu wa kufua umeme kutokea bwawa hilo ni muhimu sana.Ningemuomba Naibu waziri mkuu akutane na wabobezi wa fani hiyo wapitie mradi mzima kuangalia mapungufu na namna ya kuzitatua,pia kama kuna wajaja tampered with project.
4.Na hili liwe somo la kutekeleza miradi mikubwa ya kitaifa oversight team iliotukuka kuangalia kama wasimamizi wa miradi wanapitia prosedures zote za ukaguzi hatua kwa hatua.
Tumechoka kuletewa hasara za kiwenda wazimu.
 
Reactions: G4N
Hii serikali yetu kama watoto wa nursery yaani kila kitu ni majaribio tu..
Sasa maji yakiwa hakuna umeme shida maji yakiwa mengi umeme shida
Hii ni nchi au ni henge la wahuni..

Damu ikiwa ndogo shida na damu ikiwa nyigi sana shida kila kitu inatakiwa kuwa kiasi. Mfano ukiwa na njaa shida na ukila sana utavimbiwa nako shida kila kitu lazima kubalance
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…