Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.
Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania
Biteko aliongeza kwa kusema:
Source: Jambo TV

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.
Biteko aliongeza kwa kusema:
"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"
Source: Jambo TV