Pre GE2025 Dotto Biteko: Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.

Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.

Biteko aliongeza kwa kusema:

"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"

View attachment 3111117

Source: Jambo TV
 
Attachments

  • VID-20240930-WA0020.mp4
    2.4 MB
Wanasiasa wa Tanzania wengi ni wajinga sana.

Mtu mwanasiasa anakwambiaje tuachane na siasa?

Yeye akiachana na siasa hata hicho cheo chake atakuwa nacho?
wanasikitisha sana hawa watu
 
Siasa ni nini?
Hivi huyo ana uelewa hata wa hayo anayoyaongea? Yeye siasa si ndiyo imempatia maisha na hadhi?
Ana maanisha anajuta kuacha ualimu na kuingia keenye siasa? Kwanini asijiyoe arudi kufundisha? Au hata aende akaendeshe hotels zake alizozijenga Kigali huku hapa nchini akijinadi kuwa ni mnyonge na masikini!?
Anataka tuendelee kumfunua
Mmmh kajenga kigali? Uzalendo uko wapi ?Ila hata iyo nafasi ya naibu waziri mkuu ipo kwenye katiba kweli si ni siasa tu au?
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.

Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.

Biteko aliongeza kwa kusema:

"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"

View attachment 3111117

Source: Jambo TV

Tatizo ni mazingira mabaya ya kufanya kazi kutokana na sheria mbaya. Katiba ni kitu cha muhimu. Demokrasia haizuii mtu yeyote kufanya kazi
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.

Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.

Biteko aliongeza kwa kusema:

"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"

View attachment 3111117

Source: Jambo TV
Wanasiasa wa afrika ni wanafika sana hutasikia inchi dunia kama Marekan, viongozi wake wakisema hivyo, viongozi wacha ditto utaacha lini siasa?
 
Kwahiyo yeye anatangaza lini kuacha siasa? Au anatuzuga tu.
Siasa huwa haileti mkate mezani bali huwa inaleta Pizza 🍕 burgers 🍔 na Mavieite 😅😀😂,

Maana Siasa pesa yake ni ndefu ya kutakata, Ndio maana hata maprofisori huacha walichokisomea na kuingia kwenye Siasa ! 🙄
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.

Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.

Biteko aliongeza kwa kusema:

"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"

View attachment 3111117

Source: Jambo TV
Uwezo mdogo wa kufikiri, yeye amewakusanya watu wakati wa kazi huku akijua wataukosa mkate wao! Madaraka nayo ni pombe endapo utayaendekeza.
 
Sasa hii inayoelekezwa hapa SIO SIASA au mimi sielewi?
 
Tofauti ya msomi na mbumbumbu inapotea kwa kasi.

Amekuwa mpiga domo mzuri.
 
Siasa ni nini?
Hivi huyo ana uelewa hata wa hayo anayoyaongea? Yeye siasa si ndiyo imempatia maisha na hadhi?
Ana maanisha anajuta kuacha ualimu na kuingia keenye siasa? Kwanini asijiyoe arudi kufundisha? Au hata aende akaendeshe hotels zake alizozijenga Kigali huku hapa nchini akijinadi kuwa ni mnyonge na masikini!?
Anataka tuendelee kumfunua
Kwamba jamaaa nae ana UKWASI WA KUTOSHA SNA
 
Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.

Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.

Hiyo PhD ya Udom!

Andiko lake alichoaandika sijui,aliandika nani sijui!

Hila upstairs ni low thinker!
Mkuu tujikite kushambulia hoja yake badala ya kumshambulia yeye binafsi.
 
Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi. Hata hivyo, kauli hii inakuja na muktadha ambao unahitaji kuchambuliwa kwa kina.

Kwanza, ni muhimu kutambua kuwa Dotto Biteko mwenyewe alikimbilia siasa baada ya kuacha ualimu, ambapo alitumia fursa hiyo kufanikiwa kimaisha. Hii inatoa picha ya kinyaa, kwani anatumia uzoefu wake wa kutoroka ualimu ili kuhamasisha wengine wasijaribu njia hiyo, wakati yeye mwenyewe alifanya hivyo. Kwa hivyo, ujumbe wake wa kufanya kazi unakuwa na ukakasi, kwani anawashauri wengine kufanya kazi wakati yeye aliamua kuchukua njia tofauti. Je, huu si unafiki? Hii inawafanya wengi kuhoji uhalali wa maneno yake.

Pili, ni muhimu kuzingatia hali halisi ya maisha ya Watanzania wengi. Katika nchi ambapo kiwango cha ajira kinazidi kupungua, na vijana wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, kauli ya Biteko inaweza kuonekana kama kukatisha tamaa. Wakati ambapo watu wanahitaji msaada wa kweli na sera zinazoweza kuboresha maisha yao, ujumbe wa Biteko unakosa ukweli wa hali halisi. Watu wanahitaji viongozi wanaoweza kuelewa matatizo yao na kuwapa mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo, si viongozi wanaoshiriki katika siasa na kisha kuwataka wengine wafanye kazi bila kutoa ufumbuzi wa kiuchumi.

Aidha, kauli ya Biteko inaweza kuonekana kama njia ya kuwalinda wanasiasa wengine ambao wamefaidika kutokana na mfumo wa kisiasa. Wakati ambapo yeye mwenyewe amefanikiwa kupitia siasa, ni vigumu kumfanya kuwa kiongozi wa kweli ambaye anawajali raia. Kwa hivyo, ni swali la busara: Je, huyu ni kiongozi wa kusikilizwa na walio wengi, hasa wale wasio na ajira? Jibu linaweza kuwa hapana. Watu wanahitaji viongozi ambao wanajua matatizo yao na wanajitahidi kuleta mabadiliko.

Kukosekana kwa uaminifu katika ujumbe wake kunaweza kuathiri imani ya umma. Viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa, lakini Dotto Biteko anajitenga na hali halisi ya raia. Katika nchi ambapo vijana wanakabiliwa na ukosefu wa ajira, kauli yake inakuwa kama mwanga wa mbali, usioweza kufikiwa. Hii inachangia kuimarisha hisia kwamba viongozi wengi wa kisiasa hawana uhusiano wa karibu na matatizo ya kila siku ya watu.

Licha ya yote, ni wazi kuwa Biteko anatumika kudanganya umma. Kauli yake inaonyesha kutokuelewa au kutokujali hali halisi ya maisha ya Watanzania. Ni muhimu kwa viongozi kuwa waangalifu na kauli zao, kwani zinaweza kuathiri maisha ya watu. Katika hali hii, tunahitaji viongozi watiifu ambao wanaweza kuhamasisha umma kwa njia ya kweli na yenye maana, badala ya kutumia siasa kama ngazi ya mafanikio binafsi.

Kwa hivyo, ni muhimu kumtaka Dotto Biteko na viongozi wengine kuwa waangalifu. Wanapaswa kuelewa kwamba wanaposema, wanapaswa kuwa na maana nyuma ya maneno yao. Wanahitaji kuonyesha mfano wa kufanya kazi kwa bidii, kwa kuwaonyesha watu njia ya mafanikio ambayo inapatikana kwa kujituma, bila kukimbilia siasa kama njia pekee ya mafanikio.

Ikiwa Biteko hawezi kuelewa hili, basi ni vyema apewe onyo kali ili asiendelee kuudanganya umma. Wananchi wanahitaji viongozi ambao wanawajali na wanaweza kuwasaidia kustawi katika maisha yao ya kila siku.
 
Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.

Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.

Hiyo PhD ya Udom!

Andiko lake alichoaandika sijui,aliandika nani sijui!

Hila upstairs ni low thinker!
Elimu za viongozi wenu za kuunga unga sana kwakweli,dah!!
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.

Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.

Biteko aliongeza kwa kusema:

"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"

View attachment 3111117

Source: Jambo TV
Aonyeshe mfano kwa yeye kuacha siasa na kwenda kufundisha wanafunzi shuleni.

Inajaza mitumbo yao kwa siasa
Halafu anaongea wengine waache..kweli nyani haoni kundule.
 
Nadhani ameongelea walio wengi na wafuasi vyama siasa muda mwingi wako kwwnye mitandao ..jadili siasa.....
 
Mfano mzuri wa mtu aliyeacha siasa na kuamua kufundisha wanafunzi ni aliyekuwa Rais wa Ghana, Jerry John Rawlings.

Baada ya kumaliza kipindi chake cha utawala, alijitolea katika masuala ya elimu na akawa mfano wa kuigwa kwa vijana.

Katika muktadha wa methali yaka, inaonyesha jinsi watu wanavyoweza kukosoa wengine huku wakifanya mambo yale yale.

Hii inadhihirisha kuwa, katika siasa, mara nyingi kuna unafiki ambapo viongozi wanapendekeza maadili ambayo wao wenyewe hawatekelezi.

Ni muhimu kwa viongozi kuwa na uaminifu katika matendo yao ili waweze kuwa na ushawishi mzuri kwa jamii.

Inatia moyo kuona watu wakichukua hatua za kujitenga na siasa na kuzingatia maendeleo ya kizazi kijacho kupitia elimu.
 
Back
Top Bottom