Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiria una kiongozi mkubwa nchini mwako kama Biteko ambaye haelewi hata maana sahihi ya siasa, hapo unamtegemea atakuja na plan mahususi za kulitoa taifa kwenye dimbwi la umaskini. We are an unsuccessful race.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.
Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania
"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.
Biteko aliongeza kwa kusema:
"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"
Source: Jambo TV
Mwanasiasa anathubutu vipi kusema siasa haitaleta ugali mezani ili hali yeye amefika hapo alipo kupitia hiyo hiyo siasa? Au ndo yale yale vijana jiajirini msisubiri kuajiriwa wakati yeye mwenyewe ameajiriwa. Mtangazaji wa redio naye anasema jiajirini wakati yeye pia amajiajiri. Hitimisho kama siasa haileti ugali yeye aiche kwanza siasa ili awe kiongozi na mwanasisa wa mfano. Naomba kuwasilisha.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.
Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania
"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.
Biteko aliongeza kwa kusema:
"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"
Source: Jambo TV
Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.
Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.
Hiyo PhD ya Udom!
Andiko lake alichoaandika sijui,aliabdika nani sijui!
Hila upstairs ni low thinker!
Mwanasiasa anathubutu vipi kusema siasa haitaleta ugali mezani ili hali yeye amefika hapo alipo kupitia hiyo hiyo siasa? Au ndo yale yale vijana jiajirini msisubiri kuajiriwa wakati yeye mwenyewe ameajiriwa. Mtangazaji wa redio naye anasema jiajirini wakati yeye pia amajiajiri. Hitimisho kama siasa haileti ugali yeye aiche kwanza siasa ili awe kiongozi na mwanasisa wa mfano. Naomba kuwasilisha.
Fikiria una kiongozi mkubwa nchini mwako kama Biteko ambaye haelewi hata maana sahihi ya siasa, hapo unamtegemea atakuja na plan mahususi za kulitoa taifa kwenye dimbwi la umaskini. We are an unsuccessful race.
Hivi unaweza kuwa Rais wa St Augustin University of Tanzania ukiwa low nini sijui??Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.
Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.
Hiyo PhD ya Udom!
Andiko lake alichoaandika sijui,aliandika nani sijui!
Hila upstairs ni low thinker!
Machine ni mwigulu mkuu, hakuna Diploma pale.Hivi unaweza kuwa Rais wa St Augustin University of Tanzania ukiwa low nini sijui??
Acheni siasa matter call nyie
Zamani kidogo ilikuwa ukiokoteza unapata wachacheLini watu wa hicho chama washawahi kuwa na akili mkuu?
Nilidhani ana akili kidogo kuiko wenzake, kumbe ni bure kabisa kichwaniSiasa ndo imemfanya ifikie hapo alipo sasa anadanganta watu waachane nayo.
Ameshavimbiwa huyuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.
Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania
"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.
Biteko aliongeza kwa kusema:
"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"
Source: Jambo TV
Akikujibu unitagmzee baba mbona wewe unafanya siasa?
Tena ana share kibao kwenye makampuni ya uchimbaji wa madini.Mbona wao wana maisha mazuri sababu ya siasa.
Wanasiasa Mungu anawaona, yaani yeye yupo kwenye Siasa ndio inampatia kula halafu anawaambia wengine haileti mkate mezani. Mbona haachi kama haina faida kwake? Ndio haohao wanawaambia wananchi wajiajiri wakati wao hawajajiajiri. Kuna Viongozi walikuwa wanaheshimika watajishusha hadhi kwa kuendekeza UCHAWA badala kuongelea uhalisia wa mambo kwa maisha ya Watanzania.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza kuwa siasa pekee haziwezi kutatua changamoto za maisha ya kila siku, bali kazi ndio msingi wa mafanikio.
Soma pia: Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania
"Siasa haitoleta mkate mezani isipokuwa kufanya kazi, hata tukija Wanasiasa hapa tukawaambia kunja na ngumi, baada ya kukunja ngumi hautokuja mkate mezani, lazima Watu wafanye kazi, tunaweza kutumia siasa kwa watu na maisha yao tukazungumza chuki zetu dhidi ya watu, kutugawanya, kugawanya nchi hii.
Biteko aliongeza kwa kusema:
"Tunazo nchi ambazo watu walianza kidogokidogo kugawanyika, baadaye wakaishia kwenye kupigana, tutanye siasa za kutuleta pamoja"
Source: Jambo TV
Yeye mwenNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.