Pre GE2025 Dotto Biteko: Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fikiria una kiongozi mkubwa nchini mwako kama Biteko ambaye haelewi hata maana sahihi ya siasa, hapo unamtegemea atakuja na plan mahususi za kulitoa taifa kwenye dimbwi la umaskini. We are an unsuccessful race.
 
Mwanasiasa anathubutu vipi kusema siasa haitaleta ugali mezani ili hali yeye amefika hapo alipo kupitia hiyo hiyo siasa? Au ndo yale yale vijana jiajirini msisubiri kuajiriwa wakati yeye mwenyewe ameajiriwa. Mtangazaji wa redio naye anasema jiajirini wakati yeye pia amajiajiri. Hitimisho kama siasa haileti ugali yeye aiche kwanza siasa ili awe kiongozi na mwanasisa wa mfano. Naomba kuwasilisha.
 
Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.

Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.

Hiyo PhD ya Udom!

Andiko lake alichoaandika sijui,aliabdika nani sijui!

Hila upstairs ni low thinker!

Kwa wasifu huu basi kuna namna mtu ukiingia CCM kuna nyaya zinakatika

Kwa sababu alichokiongea na PHD aliyonayo haviendani
 

Na huyo ndo mtu wa nne kwenye succession plan iwapo Samia, Mpango au Majaliwa wasipokuwepo.

Safari bado ni ndefu mkuu
 
Amesomea ualimu chuo cha ualimu Kigurunyembe, Diploma.

Akaenda chuo cha SAUT MWANZA, UALIMU DEGREE.

Hiyo PhD ya Udom!

Andiko lake alichoaandika sijui,aliandika nani sijui!

Hila upstairs ni low thinker!
Hivi unaweza kuwa Rais wa St Augustin University of Tanzania ukiwa low nini sijui??

Acheni siasa matter call nyie
 
Kuwa CCM ni janga kubwa sana.. Yani yeye ni mwanasiasaa yuko jukwaani anahubiri siasa halafu anawakataza wengine kufanya siasa
Lini watu wa hicho chama washawahi kuwa na akili mkuu?
Zamani kidogo ilikuwa ukiokoteza unapata wachache
 
Ameshavimbiwa huyu
 
Wanasiasa Mungu anawaona, yaani yeye yupo kwenye Siasa ndio inampatia kula halafu anawaambia wengine haileti mkate mezani. Mbona haachi kama haina faida kwake? Ndio haohao wanawaambia wananchi wajiajiri wakati wao hawajajiajiri. Kuna Viongozi walikuwa wanaheshimika watajishusha hadhi kwa kuendekeza UCHAWA badala kuongelea uhalisia wa mambo kwa maisha ya Watanzania.
 
Yeye mwen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…