Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Kama hawajui
So hawajui watu 13 wenye Corona nchini ila anamjua tu mtoto wa Mbowe!Huko mbele akiwajua wengine kwahiyo atangaze?Ni nani kampa mamlaka hayo?Kwa hiyo waziri mkuu ni wa kupuuzwa maana alisema wenye mamlaka kutangaza kuhusu wagonjwa wa Corona ni PM,waziri wa afya na Rais?Je,apuuzwe pia Ummy Mwalimu aliyesema ni marufuku kutangaza wagonjwa wa Corona labda kwa idhini yao?How far are you willing to go to defend that fool Makonda??
 
Let him stay with his foolishness
 
Nguvu ya wafalme wa dunia "wa hapa" ni kubwa kiasi kwamba wafalme wa ulimwengu wa Roho "wa hapa" wameshindwa kuulinda na kuutetea ufalme huo(wa Roho).Ndiyo maana haishangazi kuona watenda maovu ya wazi wazi ndiyo hao hao wanaopewa nafasi kwenye madhabahu.Nafasi yao(wafalme wa ulimwengu wa Roho) ya kukemea,kushauri,kupatanisha na kuongoza imezidiwa nguvu.Nafasi ya wafalme wa ulimwengu wa Roho "ya hapa" IMETIKISHWA.
 
Shida inaanzia pale mpumbavu anapo pewa cheo. Atataka dunia nzima ijue upembavu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…