Dotto Bulendu: Soka limekabidhiwa wanasiasa na wasanii ndio tutarajie ushindi dhidi ya Uganda? Wanasoka wetu wastaafu hawapo? Hawathaminiwi?

..."mwandishi katumwa na mabeberu na sio mzalendo" ...wengine hatujawahi kunywa hata bia tunajiandaa kuzianza siku hiyo ya nusu bei alafu wewe mwandishi unataka kutuvurugia!
 
Binafsi hiyo kamati haiwezi kunihamasisha hata kidogo mimi na familia yangu kwenda kuiangalia T stars bali mapenzi yangu ya mpira ndo yatafanya hivyo na nitaishangilia T. Stars si kwasababu ya kuhamasishwa na hao wahuni
 
Ikicheza SIMBA uwanja unajaa mpk unamwagika..icheze Taifa stars nategemeaga uwanja ukose nafasi ila inakuaga Kinyume sjui kwann
 
Game haina ladha UG kashapita... Pale itakuwa ni bongo muvi tuu hamna cha kujisifia
 
Eti wema sepeto nae anahamasisha?? mtu ambaye hajui lolote kuhusu mpira.
 
Naona Mpira umegeuka mtaji wa kisiasa. Kama ambavyo mnatarajia kupewa pongezi na sifa lukuki pindi timu itakapofanya vizuri muwe tayari pia kubeba lawama timu itapofanya hovyo.
.....
Maana Naona Wahamasishaji na washauri wa Taifa Stars ni wasanii na waigizaji wakati wenye mpira wao wamebaki wasikilizaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki ndo mwingi watu hawataki kuusema ukweli, na kama hakuna maandalizi, unaqualify kwenda kushiriki au kushindana...
Nilikasirika sana, Rais anawaita Ikulu anawapa mpaka 50m tena anasisitiza zikalete matokeo, wanaenda kufungwa kijinga kabisa, Lesotho wanakuja Chamazi wanakunywa nao madafu na kuwaachia point moja.
Me naomba Uganda [emoji1254] wakaze kabisa, wasijekuharibu rekodi yao na yule goalkeeper wao amaintain cleensheet yake [emoji23][emoji23][emoji23]
*Uzalendo siyo unafiki wa kusifia kilicho kibovu*
[emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okwi....okwi....okwi....

Viva Uganda
 
Nimeelewa kwamba washabiki wa football na washabiki wa bongo movie ni watu tofauti! Muda upo lakini watafutwe wakongwe kina Peter tino, leodiga Tenga, kina pawasa, etc waje wahamasishe! Halafu ile nusu bei kwa nn isianze asubui twende uwanjan tukiwa vizur kama waingereza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kila jambo linakuja kisiasa.Mpira unachezwa Dar na Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar. Haya basis na nyie wekeni mkuu wa mkoa KIVULI ili ibalance.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuelewa mleta mada! ila sidhani kama tutafuzu maana tulishindwa kutumia vizuri ile mechi ya chamanzi complex dhidi ya LESOTHO. Uganda wana clean sheet hawajafungwa goli hata moja kwenye haya mashindano

AMUNIKE sio kocha mzuri naona kama mbabaishaji tu anaweza kukupangia kikosi tusichotegemea hasa kwenye midfield, techical benchi linaongozwa na Ammy ninje tayari lina ukakasi.

ikitokea tumefungwa itakuwa bahati mbaya... maana tulikosea hapo mwanzoni tujipange next game.

kila la heri Taifa Stars nitawashangilia mwanzo mwisho
 
Wapelekewe wachezaji clip zile za ngono za Wema labda watapata hamasa! hakika Makonda hajawahi kuwaza positively hata siku moja.
MAKONDA NI MSHAMBA, ANADHANI YEYE NA MKEWE WANAVYO ANGALIA MOVIE ZA BONGO NA SHILAWADU BASI WOTE TUNAPENDA. AJUE HAO KWETU WENGINE NI TAKA CHAFU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…