Dotto Bulendu: Soka limekabidhiwa wanasiasa na wasanii ndio tutarajie ushindi dhidi ya Uganda? Wanasoka wetu wastaafu hawapo? Hawathaminiwi?

Naamini stars ilikuwa na uwezo wa kufuzu kwenye hili kundi bila kutegemea matokeo ya mechi za mwisho sema mfumo wa Amunike umetugharimu jamaa ana wachezaji wazuri ila ndio hivyo penye miti wajenzi hawaonekani
 
Shilole Jana Yupo Mbele ya Media Anauliza AFCON ni Nini? Hadi anawekwa Kwenye Kamati, anaitwa Kwenye Kikao, a nafika Mbele ya Media
Ndo Anauliza Maana ya AFCON [emoji23][emoji23]. Tanzania Tuna Shida Mahali

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha!! yaan et mtu amepewa ubalozi huku hajui anachokitangaza! hii ndio TZ chini ya wanasiasa wasiotumia akili hata robo
 
Yote tisa kumi timu ikishinda tegemea pongezi zoote anapewa Jiwe, sasa hawasemi kama yuko nyuma ya huu ujazzband na wakifungwa lawama ni kocha na wachezaji.

TFF wao viingilio na kumtukuza mtukufu. Hivi ndio tumekuwa wanyonge kiasi hiki???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisikika kiongozi wa mpira akisema "ole wao matundu lissu wa mpira"What a shit!!!!!
Sasa ameshindwa simamia mpira vilivyo,club za ligi daraja la Kwanza zinajitoa.
Shithole tanzania.nchi ya 153 kati ya 156 ktk Ile list.

Naitamani Algeria na Venezuela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa jingine kubwa ni kuiweka hiyo kamati chini mhuni na muuaji bashite ambaye hakubaliki kwa watu waliostarabika hapa dar. Lazima tupige bao tujifunze kutenganisha mpira na siasa
 
Ukiacha makandokando ya kuwatumia akina wema,Amunike amechangia kwa kiwango kikubwa kuinyima nafasi Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…