Rais amezungumzia maandamano katika nchi zetu mara nyingi ni yale ya kufanya ghasia hajasema kuna chama kimechoma magari. Ndiyo maana katoa case ya America maandamano yao yalivyo na sisi. Nadhani ugumu ni kuelewa concept ..
..kwa hapa Tanzania wanaosababisha ghasia huwa ni Polisi.
..kwa hiyo alichotakiwa kufanya Raisi ni kuwadhibiti Polisi.
..Raisi anakosea kuwadhibiti waandamanaji ambao mara nyingi huzingatia amani.