Rais amezungumzia maandamano katika nchi zetu mara nyingi ni yale ya kufanya ghasia hajasema kuna chama kimechoma magari. Ndiyo maana katoa case ya America maandamano yao yalivyo na sisi. Nadhani ugumu ni kuelewa concept ..
Anafundisha SAUTDotto nimemuelewa vizuri, hizo 5W + H na follow up questions.
Huyu anatakiwa kuwa mwalimu wa hawa waandishi wetu wa siku hizi, afungue chuo chake akisajili, awapige msasa vijana kadhaa wawe walimu.
Ni kwa sababu Salim Kikeke ni mtangazaji, na zaidi mambo yanakuwa yamefanyiwa editing tayari ili kulinda muhimili.Uchambuzi mzuri sana. Kwa ujumla BBC ilipwaya, sijui ni kwa kupanga au kwa bahati mbaya.
Ukiwa na sauti nzuri unaweza kuwa mtangazaji kama ilivyokuwa kwa Kikeke, Irene na wengine pale ITV.Mkuu salaam, hivi kuna tofauti gani kati ya " Mtangazaji" na " Mwandishi wa habari"?
Yes upo sahihi, lkn kwa ufupi lazima reporter pia awe na basic of Journalism, na azingatie code and ethics za Journalism, Sauti tu haitoshi, ipo miiko ya Uandishi ambayo inahitaji kuzingatiwa kwa weledi iwe ni newsroom au studio.Ukiwa na sauti nzuri unaweza kuwa mtangazaji kama ilivyokuwa kwa Kikeke, Irene na wengine pale ITV.
Mwandishi wa habari ni lazima aingie darasani!
Mwanzo walisahau kuweka bastola kwenye ushahidi, ila la ugaidi wa kupindua nchi kwa kuchoma kituo cha mafuta! Ngumu kumesa, Rambo anatumia kabastola kuangamiza kikosi cha jeshi, ni maigizo ya sinema tu.Mtaweza kuprove mahakamani kuwa Mbowe ni gaidi? Shame on you
jumlisha pia walikuwepo. Akina Yesu, mtume Muhammad. Nabii mussa. Mwl nyerere, Mzee Mandela. Lkn wako wapi Leo ?Hakuna udikiteta hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani waliwepo akina magufuli, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Elibashiri, Idd Amin dada, chiluba, Abacha na wenzao wapo wapi leo?
Ni utawala wa kishetani kabisaMwanzo walisahau kuweka bastola kwenye ushahidi, ila la ugaidi wa kupindua nchi kwa kuchoma kituo cha mafuta! Ngumu kumesa, Rambo anatumia kabastola kuangamiza kikosi cha jeshi, ni maigizo ya sinema tu.
Mimi sijazungumzia kuhusu vyombo vya habari, usilete vitu nje ya mada. Mada ni analysis ya Dotto Bulendo kuhusu interview ya Kikeke na Mhe SamiaVya jana havielei na havijaundwa kabsa ebu tuambie ni lini uhuru wa vyombo vya habari umepatikana Gazeti la Tanzania Daima lipo wapi?