Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 611
DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua.
Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu wake.
Nakushauri tanianeni kwa mambo mengine, kadhia ya uraia imeshatugharimu sana sisi watu wa Kigoma. Kuendelea kutumia upande huo elewa unatonesha hisia za watu wengi wa mkoa wa Kigoma.
Watu wameuwawa na wengine wamekosa haki zao hadi sasa kwa kadhia hiyo ya uraia, hivyo tafuta namna nyingine ya kumshambulia mwenzako mbali na jambo hilo.