Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu kwa hilo halina utata kabisa wala hakuna anaebisha kuwa wamejazanaNuktulia nitandika Uzi had na video jins warundi walivyo jazana ktk nnchi hii
Iondoeni kigoma ktk ramani ya tz sasa...ipeni kigoma rwanda au Burundi,kongoIla ukweli tu usemwe kuwa asilimia 90 wa watu wa kigoma Ni either Ni kutoka Burundi au congo Hilo halina ubishi na msibishe
Mm nimefanya Kaz kigoma kasulu ,kibondo na kakonko nillifika mahali nikastaajabu Sana kuona kijij kizima Ni watu kutoka Burundi na hawaogopi na hawajui madhara ya kujijira mtu congo
Ziwani kule kabwe ndio usipime Kuna diwani wa pale aliyefariki Ni mkongo yule na wakongo wengi wako mle na ndio njia kuu wakongo wanatumiaaa kuja Tanzania
Nina mengi nimeyaona ila leo nisiseme Zaid
Kigoma yote ni warundi tembea ujioneeMtu kama yule pamoja na kwamba sio wa kumchukulia kwa uzito wowote lakini kuita mtu wa kigoma mkimbizi ni kuendelea kutia chumvi kwenye kidonda.
Watu wa kigoma wamekua victimized miaka na miaka kwamba sio watanzania kwa sababu ya muonekano wao ama mfanano wao na watu wa Burundi na Rwanda.
Huyo zoba akemewe kwa nguvu zote.
Kigoma ipo mpakani na hata lugha wanayoongea inafanana na warundi, mipaka iliwekwa na mkoloni lakini sasa mnaitumia kuleteana chuki wenyewe Kwa wenyewe, then mkiitwa stupid mnakasirikaIla ukweli tu usemwe kuwa asilimia 90 wa watu wa kigoma Ni either Ni kutoka Burundi au congo Hilo halina ubishi na msibishe
Mm nimefanya Kaz kigoma kasulu ,kibondo na kakonko nillifika mahali nikastaajabu Sana kuona kijij kizima Ni watu kutoka Burundi na hawaogopi na hawajui madhara ya kujijira mtu congo
Ziwani kule kabwe ndio usipime Kuna diwani wa pale aliyefariki Ni mkongo yule na wakongo wengi wako mle na ndio njia kuu wakongo wanatumiaaa kuja Tanzania
Nina mengi nimeyaona ila leo nisiseme Zaid
Acha ujinga, wale ni watanzania, wanaongea Kirundi lakini kumbuka kiha kinafanana na Kirundi kabisa, huu ujinga na ubaguzi wa kukosa maarifa utawamaliza nyieKigoma yote ni warundi tembea ujionee
Ndiyo muindoe kigoma sasa muwape warundiKigoma yote ni warundi tembea ujionee
Mijitu kama hiyo hawajasafiri hawaja vuka bodaAcha ujinga, wale ni watanzania, wanaongea Kirundi lakini kumbuka kiha kinafanana na Kirundi kabisa, huu ujinga na ubaguzi wa kukosa maarifa utawamaliza nyie
Sehemu zote za mipakani watu wanaingiliana miaka nenda rudiKigoma ipo mpakani na hata lugha wanayoongea inafanana na warundi, mipaka iliwekwa na mkoloni lakini sasa mnaitumia kuleteana chuki wenyewe Kwa wenyewe, then mkiitwa stupid mnakasirika
MotorcarMagari kwa kizungu inaitwaje?
Na wengi walikuja tz kutokea Burundi kuajiriwa kwenye mashamba ya mikongeKoo za watu wa Rwanda, Burundi, Kibondo, kasulu, Kakonko na nyankole hufanana Kwa kila kitu na hata lugha za maeneo hayo ikiwapo wahangaza wa ngara huongea lugha moja yaani akiongea muha, muhangaza, mrundi, mnyarwanda, au mkimbizi wa mwesi au mishamo pale tabora ambao walishapewa uraia huelewana kabisa vizuri na kujibizana vyema kwahiyo muingiliano huo hufanya baadhi ya watu kuadhibiwa bila sababu
TENA WARUNDI NI WAJANJA KULIKO HATA WATANZANIA KWENYE KU STRUGGLINGMkuu kwa hilo halina utata kabisa wala hakuna anaebisha kuwa wamejazana
Lakini tuna borders na Immigration system pia lakini wanafadhiliwa na wenye tamaa
Hawawezi kujazana bila kuwa na lango la kuingilia
Na hilo ulitazame
Hii mijitu ambayi kutwa iko ndani tu hawatoki uelewa wao huwa ni mdgTanga enzi hiyo kuna warundi wengi na wamanyema waliajiriwa Tanga kwenye mkonge au Tabora kwenye tumbaku kama alivosema mrangi hapo juu, interaction duniani bauwezi kuizuia, hivo kama fursa umeiona popote wewe ikamatie tu, ukianza wale wa kule wale wa kule utaumia kichwa bure
Kwa tuliyokulia familia zA mabaharia hilo tunalielewa sanaEnzi za ubaharia wakongwe wa bondeni, kuzamia meli kutaka kwenda ng'ambo nadhani mnakumbuka, hao wa asia, ulaya mashariki, wa west africa ambao hujitafuta ulaya na marekani mara uarabuni kusaka maisha undhani hawana kwao sema dunia hii kama hujatembea utabaki wewe wenzako wanasonga