Dotto Magari acha kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma

Hata Marekani Warundi ni wengi kuliko watanzania, pale lusaka au kitwe mrundi ndio mfanyabiashara mkubwa na mwenye mafanikio, angalia huyo muha anavopambana akifika mjini atauza chungwa, dafu, vyombo atapaka wanawake rangi kesho akijenga na kua na duka kariakoo tunaanza sisi wazawa wakati hatuna kitu wakati huo anatufuatia bidhaa china na dubai anakuja kutupiga pesa kizembe
 
Dunia ilishahama kitambo leo mchina wa newforce ni mtanzania na anapiga kura na anafaidika kama raia wa kondoa, nyasa anavonufaika wewe endelea kupiga kelele hapo uone utavuna nini, kokoro la kila mtu duniani USA liko pale linakila aina ya mtu mwenye makaratasi na asie na makaratasi wote ni wanasaka american dream, kwahivo lazima tuchangamshe akili sema wengi wetu ndio hivo elimu za darasani zipo kichwani na elimu ya mtaa tuliwaachia mama zetu nyumbani
 
Acha ujinga, wale ni watanzania, wanaongea Kirundi lakini kumbuka kiha kinafanana na Kirundi kabisa, huu ujinga na ubaguzi wa kukosa maarifa utawamaliza nyie
Ujinga wanao waha wanaojipeleka kambi za wakimbizi kudowea ili wahudumiwe kama wakimbizi.
 
Itapebdeza Kigoma ilipwaya uhuru wake wa kuitawala au kujiunganaidha na Congo au Burundi. Kwakua Kigoma imekua kero no vema ikatengwa na Watanzania wa Grade one.
Kigoma haikuwa sehem ya Tanganyika ya Mjerumani, kwahiyo ni kazi rahisi tu.
 
Watu wa Kigoma kwa kweli wamekuwa Wahanga wa kuitwa Wakimbizi au Warundi,Wakongo! Karne zinazokujua huenda Kigoma ikapigana kujitenga na kuwa nchi huru!
 
Huyo sijui Doto mbona namuona kama teja flani au kibaka flani aliyereform
 
mikoa ya mipakani Kigoma inaongoza kwa kuwa na warundi na wacongo,huko Kigoma mpaka wenyeviti na madiwani wa vijiji wapo wakimbizi,wanafinyiwa kwa ndani sababu wanaabudu CCM kuliko maelezo.
 
Asante hakuwa mkongo
 
Utamkuta mtu anakuambia kigoma syo tanzania basi kigoma iondolewe basi ktk ramani ya tz

Ova
Kigoma ni Tanzania, ila majority ya waishio siyo Tanzania sababu ya Mifumo mibovu ya Ujamiaji pia Rushwa na siasa.
Badala ya kupoteza muda na kuwasumbua na hizi habari za Uraia kwanini wasianzishe utarayibu wa kuwapatia uraia.
 
Una kiwango gani Cha elimu
 
Point yako kubwa ni ipi?
 
Mkuu hilo halina ubishi, kwa mtz kusafiri anaona atapotea au kuibiwa
Hao jamaa wanapiga kazi haswa na ni haki yao waseme ni Waha ingawa sio waha
Waha walishindwa hata kupambana na funza
Ila jamaa wanaonewa sana na uhamiaji
Wanakuja kuwaamsha waliolala lakini unakuta jamaa wa uhamiaji kwa makusudi wanaingia kwa mfano sokoni kwenye maduka wanaanza kuwatia jambajamba na kuchukua hela kwa ulaghai
Yaani mtu mpaka kafika hapo na duka kubwa la hardware bado anaonewa tu

Wabongo kufanya kazi moja mfululizo ni ngumu anataka aibe ili apasue
Wenzetu walituharibia wakati walikuwa wanakuja na mabunduki ya jeshi na kuwauzia majambazi ili yatuue kwenye magari ya usafiri

Hapo ndio waliharibu sisi jambazi walikuwa ukipiga kelele anakimbia ila walopoleta AK47 daa wakawa wanaua tu

Ila Magu aliwamaliza
 
Take it easy Festus Bavumiragiye !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…