WasomiNI MUDA WA KUMSAIDIA MAMA KUWATUMIKIA WANANCHI WA JIMBO LA KINONDONI
View attachment 3389092
Ubunge unachukuliwa poa sanaNI MUDA WA KUMSAIDIA MAMA KUWATUMIKIA WANANCHI WA JIMBO LA KINONDONI
View attachment 3389092
Hizo nywele tu tayari zimeshamnyima uteuziNI MUDA WA KUMSAIDIA MAMA KUWATUMIKIA WANANCHI WA JIMBO LA KINONDONI
View attachment 3389092
Huko kinondoni yupo mjinga anaitwa Abas Tarimba lazima atamuundia zengwe Doto kama alivyofanya kwa kanisa la GwajimaNI MUDA WA KUMSAIDIA MAMA KUWATUMIKIA WANANCHI WA JIMBO LA KINONDONI
View attachment 3389092
Hiko kipengele tunapaswa tukiondoe tukitaka kupiga hatuaSifa : Kujua kusoma na kuandika.
ccm hata wasomi huwa wajinga wakiwa wabunge wa ibirisi ccm yaani ukiwa msomi kisha ukajiunga na ccm, lazima kichwani ufute kila kitu na kubakia na Akili ya darasa la piliSifa : Kujua kusoma na kuandika.
Naskia na pakuma sjui pakkomeBado Mzee Mpili wa Yanga
ibirisi wa ccm wanauza form kama sambusa hata mangungu ataenda kumunuaBado Mzee Mpili wa Yanga