Hata mganga wako wa kienyeji akachukue formNaskia na pakuma sjui pakkome
Kwa Sasa kigezo kikuu ni kuwa uchawa!!Vigezo na sifa za viongozi wetu, kuanzia M/Kiti wa Kijiji zibadirishwe.
HakikaHiko kipengele tunapaswa tukiondoe tukitaka kupiga hatua
Haiwezekani mtunga Sheria awe na sifa za kujua kusoma na kuandika
Ndio naenda nae ofisi za ccm hapa...naskia na digui Madera diara naye anagombeaHata mganga wako wa kienyeji akachukue form
At least awe na Diploma yaan at least sio tena Darasa la Nne C mtu hata la 7 hajafika anataka kua Mbunge umesikia Bungeni ni Sokoni?Vigezo na sifa za viongozi wetu, kuanzia M/Kiti wa Kijiji zibadirishwe.
Laki 3Hivi how much is that fomu ya ubunge asee? Mbona hivi ni vituko!
Laki 3 yako tu na wewe nenda kachukueibirisi wa ccm wanauza form kama sambusa hata mangungu ataenda kumunua
Watu kama hao eti ndio wakapitishe miswada, bajeti, na kutusemea Wananchi.At least awe na Diploma yaan at least sio tena Darasa la Nne C mtu hata la 7 hajafika anataka kua Mbunge umesikia Bungeni ni Sokoni?
Mkuu sio sifa zibadilishwe bali mindset and muundo wa utawala. Kwa si kwani tayari si kuna wasomi kwenye hizo nafasi, wamefanya nini cha maana.Vigezo na sifa za viongozi wetu, kuanzia M/Kiti wa Kijiji zibadirishwe.
Ujinga ujinga mwingi sana hii Nchi na utashangaa Wajinga wanampitisha walivyo WajingaWatu kama hao eti ndio wakapitishe miswada, bajeti, na kutusemea Wananchi.
Huko sahihi. Me nakereka knm.Mkuu sio sifa zibadilishwe bali mindset and muundo wa utawala. Kwa si kwani tayari si kuna wasomi kwenye hizo nafasi, wamefanya nini cha maana.
Tukiyaacha hayo tutakufa tukiwaachia watoto wetu kazi kubwa mbeleniHakika