GE2025 'Dotto Magari' ajitosa ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM

GE2025 'Dotto Magari' ajitosa ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna demokrasia ndani ya CCM. Ingekua CHADEMA huyu Dotto angetukanwa sana.
 
ccm hata wasomi huwa wajinga wakiwa wabunge wa ibirisi ccm yaani ukiwa msomi kisha ukajiunga na ccm, lazima kichwani ufute kila kitu na kubakia na Akili ya darasa la pili
Ubakiwe na akili za kuvukia barabara.
 
Mfanyabiashara wa magari maarufu Dotto Magari amechukua fomu y kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia chama cha mapinduzi CCM. kupitia ukurasa wake wa instagram Dotto amethibitisha akichuka fomu nakuandika maneno haya

"ni muda wa kumsaidia mama kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni"

Huku ponjoro huku Dotto
 
Vigezo na sifa za viongozi wetu, kuanzia M/Kiti wa Kijiji zibadirishwe.
Kinondoni ina bahati mbaya ya kupata wauza unga na watumiaji wa madawa ya kulevya.
Kipindi nasoma kinondoni shule ya msingi huyu Teja alikuwa ansoma hananasif namjua ndani nje hata shule yenyewe alishindwa kumaliza
 
Watanzania wanapenda kutapeliwa tu.

CCM imeshawaambia jamani hee safari hii haitakuwa kama huko nyuma watu mia moja wanagombea kura kwa wajumbe.

2025 kamati kuu inakagua majina na kupeleka matatu tu yenye sifa sahihi kwa wajumbe.

Sasa Dotto Magari atapita kweli, ningekuwa mtu anaeniomba hela simpi kumbe ana hela za kuchezea hivyo.

Hata CCM wenyewe hawataki tena kupeleka mazwazwa bungeni, sema kuna watu wana vichwa vigumu kuelewa.
 
Kinondoni ina bahati mbaya ya kupata wauza unga na watumiaji wa madawa ya kulevya.
Kipindi nasoma kinondoni shule ya msingi huyu Teja alikuwa ansoma hananasif namjua ndani nje hata shule yenyewe alishindwa kumaliza
Sahivi anataka kuwa mwakilishi wenu Bungeni
 
Mfanyabiashara wa magari maarufu Dotto Magari amechukua fomu y kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia chama cha mapinduzi CCM. kupitia ukurasa wake wa instagram Dotto amethibitisha akichuka fomu nakuandika maneno haya

"ni muda wa kumsaidia mama kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni"

NO REFORMS, NO ELECTION.
HAKI huinua Taifa, HAKI ni Tunda la amani.
 
Ccm wame dhalilisha na kushusha sana hadhi ya ubunge kiasi kwamba hadi wehu na wenyewe wanaona wanaweza kua wabunge
 
Watu mnaotokwa povu kwani kuna mtu kazuiliwa kuchukuwa fomu? Nenda na wewe ukachukuwe fomu, Wajumbe tunakusubiri.
Kwa ufahamu wako hata ngedere wakija kwenye familia yako kuomba wakuongoze unakubali tu.
 
Huyu sio.mfanyqbiashara wa magari , huyu ni dalali wa magari

Ile biashara ya magari pale kinondoni sio ya kwake
 
Haahaa...! haahaa...! haahaa..! Kmmk walahi nchi ipo uchi kila muhuni anajipigia madole tu
 
Back
Top Bottom