Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"

"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”

Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
 
Zile ndinga zote, ni kiwindiaaaa 😀😀
 
Dah ila sylvester Buyamba katikisa mitandao ya kijamii. Imesambaa hadi Rwanda, Congo, Burundi, Malawi, Zambia hadi West Africa huko. Imehit Internet kwa fujo ya ajabu.

adriz de mbusii
 
“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"

"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”

Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
Dotto inamuuma hakualikwa kwenye send off
 
mshamba yule hajui lolote yaani mtu atoke eneo lake la kazi akaishi mjini kufanya nini sasa,na kwa tafiti matajiri wengi uishi nje ya miji,
 
“Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?"

"Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo kama nyoka, mtu kapata jiwe lake la Bil.2 Bil.3 tayari hekaheka, makelele mengi watu hatupumui Dar es Salaam, matajiri mnamiliki gari aina moja C100, si gari za kuwindia hizo.”

Kauli ya Dotto Magari kuhusu Tajiri wa Katoro, Sylivester Buyamba.
Yeye jiwe lake la Bilion 1 liko wapi?
 
Back
Top Bottom